Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hivi kati ya R.A.M na PROCESSOR ni kipi kinachoifanya computer iwe na speed?.Nauliza hivi kwa sababu nina laptop yangu Pentium 3 ina RAM 64MB na PROCESSOR 615 Mhz yaani inachukua muda mrefu kweli...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Now, this is really fascinating. This image shows the size of Earth compared to some other planets in our solar system. The image below shows...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana jamii, natumai post hii imewakuta salama. Ninahitaji a 32 or 48 port switch(100Mb/s or 1Gb/s), managable prefare, any of the below makes also prefared Dlink intel hp Bei iwe...
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Jaman wanachama naomben kujua nataka kununua modem je ninunue ya mtandao gani ambayo iko poa?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hebu tu share Add on, najua kila mtu anazo anazipenda kutokana kila mtu anashughuli zake kwenye net, wapo wazowefu ambao wapo muda mrefu kwenye mambo haya, hawa watakuwa wanajuwa mengi kwa hiyo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
zipo njia nyingi ila leo nimekutana na njia mpya ambayo nimeipenda mno. hiii inakubali kama unatumia firefox. How to Download as Premium from DepositFiles, Hotfile, MegaUpload and Mediafire |...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi jamani wana JF, mi naomba kuuliza kama kuna mtu anaweza kunisaidia maana halisi ya kuflash modem na inafaa nini kama modem ikiwa imeflashiwa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau .. natafuta set ya mashine tajwa hapo juu kwa ajili ya mmini market.. nilijaribu kuielezea siku za nyumalakini nadhani sikueleweka.. ni kwa ajili ya sehemu moja tu... mfano wake ni ka ahizi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kutengeneza tovuti (websites) siyo jambo gumu tena. ikiwa unahitaji kutengeneza tovuti yako binafsi au kuwatengenezea wengine usiwe na presha tena. utahitaji mwezi mmoja tu wa kujifunza nami...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wandugu, nimegundua Dell yangu latitude D630 inaweza kupokea chip ya simu. Nataka kutumia Dell Mobile Broadband Card Utility kupata data na huduma nyingine kutumia chip ya zain. Nimeistal driver...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Japokuwa mm si mtaalam wa computer sana lakn ni mtumiaji sana na nafikiri kwa uelewa wangu mtanisaidia ktk hili. Hapo kabla nilikuwa natumia real player kwa ajili ya kuzi-capture movie, nyimbo, au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi wana JF, Niliiformat mashine yangu, na kwa bahati mbaya drivers za webcam zikagoma kurudi. Sasa nitafanyaje nizirudishe? PC yangu ni window 7, vista. Nimejaribu kudownload naona inazingua sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Single Molecule Motor Is The World's Smallest Scientists have created the world's smallest electric motor, made from a single molecule. The tiny gadget is expected to lead to new devices that...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Jamani wataalamu naomba kuuliza. BOOTABLE CD NDIO NINI?INAFANYA KAZI GANI NA WAKATI GANI?PIA INATENGENEZWA VP?NAOMBA KUFUNDISHWA TOKA KWA WATAALAMU. Msaada jamani!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana Jf,okay mimi nimenunua moderm​ ya voda,sasa nilichokuwa naomba kwa wataalamu ama wanaofahamu jinsi yakufanya ili uweze kutumia moderm hii kwa mitandao yote kwa maana nyingine...
0 Reactions
2 Replies
932 Views
wadau nimekua nikitumia laserjrt 4050N printer kwa muda mrefu biala matatizo...ila jana wakati naprint ikagoma na kunipa sms ya "50.2 FUSER ERROR" nimejaribu kusolve hili tatizo siku nzima...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
wakuu hii habari niliskia bbc,kwamba huko kenya wanapata mwanga wa taa kwa kutumia chupa ya maji,sasa nauliza kuna mtu ameona hii kitu inavyofanya kazi?
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Salam zenu wakubwa, Naombeni msaada kwa desktop yangu haitaki keundelea kuwaka mara niiwashapo ikfikia inaonyesha neno 'welcome' haiendelei zaidi ya hapo hata nikisuburi zaidi ya nusu saa au zaidi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalamu naombeni msaada wa jinsi ya kuzi-block e-mail usizozitaka mfano hizi zinazotangaza viagra n.k maana siku hizi nimekuwa nakerwa sana na hizi email maana imekuwa ndio fasheni ukifungua...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello Sijui kama wadau mmeshaona hii software toka adobe, ni bure na hakuna writing codes at all kama umeshaiona basi pole kwa kupoteza muda wako wakusoma hii post, tutorial follow this link from...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…