Software ya kudownload movie,mp3 n.k

Software ya kudownload movie,mp3 n.k

Maega

Senior Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
156
Reaction score
31
Japokuwa mm si mtaalam wa computer sana lakn ni mtumiaji sana na nafikiri kwa uelewa wangu mtanisaidia ktk hili. Hapo kabla nilikuwa natumia real player kwa ajili ya kuzi-capture movie, nyimbo, au clips nyingine toka kwenye internet ili nizi-save kwenye pc yangu lakn naona sasa hv hii real player haifanyi kazi hiyo kwani nilikuwa nimezoea ikitokea na-download file la aina hizo nilizozisema hapo juu huwa inajitokeza real plyer inakuuliza kama unataka kui-save movie hiyo lakn sa hivi haitokei, nifanyeje? au kama kuna-software nyingine nijulisheni niendelee kufaidi
 
Install torrent software (bit-torrent/u-torrent ...) kwenye computer yako, kisha ingia thepiratebay.org peruzi unachotaka (movis/music/documentaries...) download torrent yake uifungulie na program uliyodownload (bit-torrent/u-torrent). Hapo sasa kazi itakuwa ni space uliyonayo tu ya kusave unavyovidownload
 
orbit downloder fast and furious
 
Thanx Wa ndima, Biohazard, Sigma na Sniper, yaan sa hv full ku-enjoy. Long live JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom