Msaada wa mobile broadband card utility | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mobile broadband card utility

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kiresua, Sep 5, 2011.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wandugu, nimegundua Dell yangu latitude D630 inaweza kupokea chip ya simu. Nataka kutumia Dell Mobile Broadband Card Utility kupata data na huduma nyingine kutumia chip ya zain. Nimeistal driver yake nikafanikiwa, sasa kizungumkuti kupat network. Sijaweza kupat kwani katika list za service provide zain haipo, hata nilipotumia chip ya vodacom ingawa ipo lakini sikuweza kufanikiwa. Mwenye ujuzi juu ya hili anijuze?
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ukisha install hiyo software weka bluetooth on click connect automatic itaonyesha mtandao wako unaotumia haiitaji setting zozote kwa habari zaidi ingia hapa https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/162106-dell-latitude-d630-smart-chip-modem.html
   
 3. joskill

  joskill Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  jamani mimi nilidownload hiyo driver kwa ajili ya dell D620 ikaniambia the device is not detected so nikagundua kuwa hiyo device imekua removed,na nimeitafuta ninunue nyingine na kupitia maduka kadhaa hapa dar BUT ccjafanikiwa kuipata naombaeni msaada kwayeyote anayejua mahala kinapouzwa/kinapopatikana anijulishe please...!!!
   
 4. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jaribu pale mtaa wa libya kuna kituo cha oilcom opposite na kituo cha oilcom kuna mafundi wa computer wachina china wapo pale jaribu pale wanaweza kukusaidia
   
Loading...