nasikia vista ilikuwa kimeo sana ndo ikaletwa windows 7 kama mbadala. kuna ukweli? maana nami ningependa kurudi vistaInaonekana hiyo pc yako ilikuwa ina winndows xp au vista so ukaiupgrade kwenda kwenye windows 7 ndio sababu ikakataa so unachotakiwa kufanya irudishe kwenye windows yake au download driver kwa internet.
computer yako ni brand&model gani? tafuta drivers hapa Download, software, drivers, games, multimedia, download drivers au inawezekana tatizo sio drivers ni software ya webcam ndio haipo hivyo unashindwa kulaunch webcam yako,nimeAttatch torrent file ya CyberLink YouCam Deluxe 4.0.9 With Serials unaweza kuitumia hiyo....Hi wana JF,
Niliiformat mashine yangu, na kwa bahati mbaya drivers za webcam zikagoma kurudi. Sasa nitafanyaje nizirudishe? PC yangu ni window 7, vista. Nimejaribu kudownload naona inazingua sasa cjui itakuwaje. Mwenye wazo nisaidie