hata voda unachakachua tuKwahiyo hizo za zantel zote zinazotumia line zina urahisi wa kuchakachukika??
Mkuu naona umefufukapia wana bundle zao za mwezi na ni rahisi hazikatikati na speed yake ni stable na balaaa...i have one kwaajili ya shemu wenu nyumbani kudownload video za mapishi na mie nimeweka bitorrent inashusha muvi taratibu bila yeye kujua...nikirudi jioni naona muvi zangu zipo ready...raha duniani
Hmm! what kinda movies? hehehe! umerudi mkuu zakupotea?pia wana bundle zao za mwezi na ni rahisi hazikatikati na speed yake ni stable na balaaa...i have one kwaajili ya shemu wenu nyumbani kudownload video za mapishi na mie nimeweka bitorrent inashusha muvi taratibu bila yeye kujua...nikirudi jioni naona muvi zangu zipo ready...raha duniani
Sija sikia watu wakiongelea hili ila ya sasa teli ile ya mezani ni cheapest kuliko zote Tanzania!! weka unlimited day sh 500 halafu unadownload hadi unajuta na kwanini hukujua mapema. bei ni elfu 29 na vocha ya jero inakaa masaa 24 + 2 free hrs hapo niaje!!! Tatizo ni promo tu!!
pia wana bundle zao za mwezi na ni rahisi hazikatikati na speed yake ni stable na balaaa...i have one kwaajili ya shemu wenu nyumbani kudownload video za mapishi na mie nimeweka bitorrent inashusha muvi taratibu bila yeye kujua...nikirudi jioni naona muvi zangu zipo ready...raha duniani
kitu kama hicho mbona hakipo kabisa katika website ya sasatel. everything is very limited there. ni kweli unafanya hivyo? au unatupoteza njia?Sija sikia watu wakiongelea hili ila ya sasa teli ile ya mezani ni cheapest kuliko zote Tanzania!! weka unlimited day sh 500 halafu unadownload hadi unajuta na kwanini hukujua mapema. bei ni elfu 29 na vocha ya jero inakaa masaa 24 + 2 free hrs hapo niaje!!! Tatizo ni promo tu!!
mbona voda wana 10,000 unlimited airtel hawana? Kila mtandao una faida yake kakaaa usiwaharibie soko...... Modem nakushauri nunua zantel zinazoingia line hizi ndogo then ichakachue itaingia line zote. Ukilikoroga ukanunu modem mpya e153 imekula kwakooo
The cheapest one ni Tigo modem elf30, but ngumu kuchakachua.
Ya voda elf45 ipo powa na rahisi kuchakachua kwa kutumia Tigo, Airtel,Zantel(gsm).
Ya Airtel haichakachuliki.
Ya Zantel(gsm) sijui habari zake
Ushauri chukua ya Voda chakachua kwa mitandao mingine