Natafuta Joomla Books

Natafuta Joomla Books

Pilato2006

Senior Member
Joined
Aug 25, 2008
Posts
124
Reaction score
37
Nisaidie Joomla Books, toka mwanzo -mwisho, yaani rfom beginers to advance level.

Asanteni
 
utapata from lynda.com ila haiko kama kitabu kabisa,ni video presentation flani ivi,jaribu kuchagua iliyo presented na joseph le blanc iko poa saana,pia kama hutapenda kuinunua,unaweza ukadownload kwa torrent,searchit from torrrentz.com utaipata..........kila la kheri
 
Niku2mie vp video tuitorials,lakini kama unahitaji kujua joomla hauhija ma-book,we jifunze ku-install,ku-customize templates,ku-install extensions,then kuandika proposals za kutengeneza website na kuanza kupiga hela....mimi nilisoma mara moja nikaelewa,lakini siipendi cku hizi....kwa maelezo zaidi nenda gyme ya mtazamaji
 
Nisaidie Joomla Books, toka mwanzo -mwisho, yaani rfom beginers to advance level.

Asanteni

Books


Video

Training za video zipo kibao the best kwangu ama alvsema jamaa juu ni za lynda. Kwa gharma nafuu unaweza kuzipakua kwenye torrent hizi
Joomla 1.6 Essential Training

Lynda.com.Joomla.1.6.Creating.and.Editing.Custom.Templates

Youtube pia kuna nondo nzuri . All you need ni kwenye hizi video taining ni bandwidth na connectio n nzuri ili uzipakue na baadae uweze kuzicheki hata bila kutumia net

Good luck
 

Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom