Good news for gamers

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
14,302
2,000
inakuaje wakuu? kwa wale gamers nataka niwapashe habari njema,in no time nitatia mkono wangu kwrnye kitu cha fifa 12. kwenye ijumaa this week nitakua nimeshaipata and guess wat? nitaisupply for free. all you need ni empty dvd then we can arrange meeting nakuwabania. ningeweza kuiweka online ila ina gb za kutosha na kwa internet yetu ya modem hii it will take longtime. pamoja sana wakuu
 

kasambalakk

Senior Member
Apr 2, 2011
125
195
inakuaje wakuu? kwa wale gamers nataka niwapashe habari njema,in no time nitatia mkono wangu kwrnye kitu cha fifa 12. kwenye ijumaa this week nitakua nimeshaipata and guess wat? nitaisupply for free. all you need ni empty dvd then we can arrange meeting nakuwabania. ningeweza kuiweka online ila ina gb za kutosha na kwa internet yetu ya modem hii it will take longtime. pamoja sana wakuukaka tunasubiri kma kikombe cha babu
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
2,000
dah sasa mkuu kwa wasiokuwa mjini hapo itakuaje...maana inahusika sana hiyo kitu...!!
 

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
990
0
ya ps3 huwez pata ya kuchakachua ni OG tu!! Na ya pc unaeza pata kwnye torrents ila ina Gigs za kutosha...fifa 12 imepata 9.5 score IGN ..mzeewaloliondo huwez kuicompress??
 

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
14,302
2,000
wakuu ngoja nitajaribu kuicompress. ivi winrar iko poa? atlist ibaki kwenye kaukubwa flani reasonable then ntaupload nakuiweka iwe shared online ila kwa gamers wa hapa dar nafkiri tutasomana tu coz makazi yangu kwa sasa ni pale posta iakua muzu
 

ammah

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
216
225
hio kitu nimeshaiweka mikononi tokea juzi. Now new features nyingi kwel kwel
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
0
imagine customers wote wa EAS wangekuwa 'generous' kama wewe....
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,553
2,000
i wonder game yenye zaid ya gb 4 munaekaje kene cd? Au ni setup ya demo? Limeshachakachuliwa? Au linaekwa vipande vipande?
 

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
2,000
wakuu ngoja nitajaribu kuicompress. ivi winrar iko poa? atlist ibaki kwenye kaukubwa flani reasonable then ntaupload nakuiweka iwe shared online ila kwa gamers wa hapa dar nafkiri tutasomana tu coz makazi yangu kwa sasa ni pale posta iakua muzu
itakuwa poa sana mkuu maana hizi za kwenye torrents naona nyingi bado zina problem ya ku crash kwa sasa...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom