athari za kutumia admninistrator acc.

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,102
417
Wajamen na wataalam wa jf, eti kuna ukweli wowote juu ya kutumia administrator acc wakati wote? Manake kuna mshkaji kanishauri nisitumie admn acc wakatai nafanya shughuli zangu za kawaida kwenye comp, ila akaniambie hiyo acc niwe naitumia tu wakati wa ku-inslalu au ku-anistalu programu tu.

wakuu kuna ukweli wowote au ananizingua tu,

nategemea ushauri wenu.
 
Inashauriwa kutotumia admin acc ili kuzuia watumiaji wengine wa hiyo computer kuweza kumake changes ambazo zitaathiri watumiaji wengine.
Pia kuna hawa trojan horse ambao humuwezesha hackers kuaccess computer remotely(back door), hivyo kama unatumia admin acc hackers wanaweza kumake changes ktk hiyo computer tofauti kama utakuwa unatumia standard acc hawatoweza kumake changes yoyote

Ni hayo tu.......
 
mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako, hapo umenifungua macho
 
Back
Top Bottom