Mtandao upi ntaponea internet? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtandao upi ntaponea internet?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Oct 18, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba msaada khs internet ya mtandao upi itanifanyia fair coz kudownload ni sehem kubwa ya matumizi yangu ya internet na hata kama si hvyo bado matumiz yangu ni ya mfululizo NIMEJARIBU VODA wananiua sana mb 150 kwa elfu tatu inawahi kuisha NIMEJARIBU ZAIN/AIRTEL wanafair coz 400mb kwa 2500 BUT network imekuwa tatizo wanataka niwe karibu na Mnara PIA imekuwa kikwazo kwangu nimeshidwa naomba kujua khs mitandao mingine kati ya ZANTEL na TIGO vipi khs bundle zao jamani naomba msaada wa maelezo!
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Zantel wapo cheap.wajaribu
   
 3. knaan

  knaan Senior Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Airtel ya ukweli kaka .mbona me natumia kama 5 months nw
   
 4. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  bunle za zantel zikoje?Tsh. Ngapi kwa mb ngap?
   
 5. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwa matumizi yako,TTCL inakufaa 1hr=buku,internet unlimited
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Zantel chp? Mayb in Kivuku land....nyonyaji wakubwa wale mayb TTCL n' Airtel
   
 7. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Zantel ni balaa, nafikiri ni mosT expensive. Aie tel wako cheap,
   
 8. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  vifurush vyao vikoje?tsh. Ngap kwa MB ngapi?
   
 9. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  vifurush vyao vikoje?tsh. Ngap kwa MB ngapi?
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Airtle 400mb for 2500 dats y wa2 wanaipenda cz of only dat bundle n' TTCL wana bundle za ukweli unlimited within period of tym eg 1unlimted hour 1000!
   
 11. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Airtel , TTCL na Voda wako fair. Kwa matumizi ya kawaida{light users} kupitia mitandao yao, huduma iko poa interms of speed and costs. Kwa upande mwingine, kwa watumiaji wakubwa wa internet{heavy users} bado ni tatizo maana gharama ziko juu. Hapa nina maanisha kwa wale wanaotaka kudownload movies,softwares, kuangalia online video,movies n.k. Nimeshatumia huduma za internet kupitia zantel,airtel,voda na ttcl. Nikiambiwa nichague mtando bora kwa maana ya speed na cost nitachagua airtel. Ingawa vilevile vigezo hivyo vinaweza kuwa tofauti kulingana na eneo husika, aina ya modem n.k.
   
 12. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ahsante sana vp kuhusu zantel
   
 13. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 80
  Jamani wanao tumia package ya standard month ya 45,000 tigo wanatoa gb ngapi!
   
 14. d

  deedee Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  weka bomba7...from vodacom...ukiwa kwenye 3g ni nzuri sana..hata hizo mb750 zikiisha
   
Loading...