dont be bothered by brand name while buying a washing machine most of the doing just fine. what you need to know is your preference. but here are some hints.
- kg ambazo machine inaweza ku support at once. ie unataka ufue nguo nyingi kwa wakati au vyenginevyo.
- front or up loading. ie nguo upitishie kwa juu au kwa mbele.- zile unazopitisha nguo kwa juu zinaaminika ni nzuri zaidi ya zile unazoweka kwa mbele.
- automatic au manual, zipo automatic ambazo zikimaliza kujiosha zinachange mode na kujisuuza, na zipo ambazo inabidi ubadilishe fro. one chamber to another wewe mwenyewe. automatic ni nzuri zaid
- energy consumption, machine nying za automatic na up loader zinatumia umeme mdogo kuliko nyenginezo. ila ikiwa umeme si tatizo kwako you can make your own choice.
- size, jee una nafasi ya saizi gani kuweka hiyo machine small space need simple small machine.
na mengineyo mengi....