Hii Zuku ikoje?

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
635
Jamani wataalam,naombeni kujuzwa hii Zuku TV network(kama sikosei). Naona wanatoa service kule Kenya,huku bongo vipi??
Maana naona kama Channel zao nyingi kidogo ingawa sijaona Channel yoyote ya maana kwa ajili ya futbol.

Nawasilisha.............
 
Jamani wataalam,naombeni kujuzwa hii Zuku TV network(kama sikosei). Naona wanatoa service kule Kenya,huku bongo vipi??Maana naona kama Channel zao nyingi kidogo ingawa sijaona Channel yoyote ya maana kwa ajili ya futbol. Nawasilisha.............
wanaitwa zuku satelite tv zamani walijurikana kama zuku cable tv walikua wanapatikana kwenye cable tu lakini sasa wamejitanua na kwa kwenye satelite,huku bongo bado hawajaanza kutoa huduma nadhani bado wanajipanga,target yao ni nchi kumi na tano za africa mashariki na kati.wapenzi wa football esp epl pale hamna chenu jamaa hawana right yoyote ya kurusha epl,la liga nk,dstv kalamba zote mpaka hapo tenda zitakapo tangazwa tena na kama wataweza kumwaga mahela kama superport.lakini kwa channel zingine mambo droo na dstv kwa content ingawa channel zinatofautiana.hawa jamaa at least wanatia moyo kuliko startimes au ting.hawa channel zao nyingi ni za bure ambazo content zake na zamani sana.
 
Thanx Hermiyungu kwa maelezo yako mkuu ngoja tuwasubiri hao jamaa. Hivi mbali na hivi ving'amuzi(star times na ting),dstv na hawa jamaa wenye cable, vipi hakuna namna nyingine ya kupata hata kama ni FTA channels za maana kupitia receivers. Coz kwenye mtandao wanaonesha channels mbalimbali za maana ambzo ni FTA lakini tatizo linakua kwamba satelites wanazoonyeshea zinakuwa hazipo kwenye receiver(yangu ya Mediacom 930+). Vipi ni receiver gani nzuri yenye at least broad list ya satelites.

Msaada tafadhali.
 
kwenye receiver yako kuna option ya kuadd satellite,fanya hivyo utafanikiwa ila recever yako ni mpeg2 ya zamani tafuta angalau mpeg4 recever utaenjoy
 
pia inabidi ajue beam ya satellite anazotaka maana zingine hazishiki signal bongo.
 
kwenye receiver yako kuna option ya kuadd satellite,fanya hivyo utafanikiwa ila recever yako ni mpeg2 ya zamani tafuta angalau mpeg4 recever utaenjoy

Asante mkuu ngoja nitry nione. Ingawa tangu juzi huku nikipo channels zote za FTA kwnye Ku Band hazisomi(signal weak) sa' sijui labda ni hii mvuamvua inayonyesha huku au ni satelite yenyewe (Express AM 11(96.5E). Imekuwa tabu kweli.
 
tena ukipata receiver ambayo ina nguvu na mpeg4 kama strong srt 4899x,astrovox nk utaipata mpaka dubai sports ambayo wanaonyesha epl tena wakitangaza kwa kiingereza.channel nyingi siku hizi zinarusha matangazo kwa mtindo ambao ukiwa na mpeg4 unazikamata vizuri.mediacom ni receiver ambazo hazina nguvu kabisaaa labda kwa channel zetu inafaa.

Mkuu nimekuelewa. Je hizi receiver zinapatikana vipi na vipi bei zake. Mimi natumia dish la futi sita, je nitaipata hiyo Dubai sports. Kimsingi hizi receivers zitakuwa zinatofautiana kwa ubora,which ia the best?

Nasubiri jibu waungwana, maana hivi ving'amuzi vinaumiza akili za watu sana.

Nawasilisha....
 
Mimi ninayo Receiver aina ya Ferguson hd 160,
Kwa sasa naitumia kama dvd machine tu kwa sababu sijajua namna ya ku set ili itumike kama Receiver.
Nifanyeje?
 
kwani wewe upo wapi unapatikana wapi.
Au unawezakuielezea jinsi connection zake zilivyo?
 
Mimi ninayo Receiver aina ya Ferguson hd 160,
Kwa sasa naitumia kama dvd machine tu kwa sababu sijajua namna ya ku set ili itumike kama Receiver.
Nifanyeje?

ndugu receiver yako hutaweza kui2mia kupata tv stations huko kwe2 zimetengenezwa maalumu kwa free2view channels ambako mamtoni ndiko zinapatikana.yenyewe ina format ya DTT,ilitakiwa iwe DVB
 
Mkuu nimekuelewa. Je hizi receiver zinapatikana vipi na vipi bei zake. Mimi natumia dish la futi sita, je nitaipata hiyo Dubai sports. Kimsingi hizi receivers zitakuwa zinatofautiana kwa ubora,which ia the best?

Nasubiri jibu waungwana, maana hivi ving'amuzi vinaumiza akili za watu sana.

Nawasilisha....

Kuhusu which is the best ni ngumu kusema nnachoweza kusema ni kwamba hizo decoders zinarange kutoka SD to HD.inaweza kuwa sd mpeg4 ila hd zote ni mpeg4.kwa hiyo hd decoder ina gharama kubwa zaidi ya sd mpeg4,mf strong srt 49100 inauzwa zaidi ya tsh 450000 hivi wakati strong srt 4669x sd mpeg4 tsh 220000/=uzuri wa strong unaweza kuweka pin codes ukapata channels za kulipia bure.aidha kwa ku2mia ungo wako wa ft6 unaweza kupata satellites 5 tofauti kwa wakati mmoja sats hizo ni intelsat 906,nss12 ku,intelsat10 c&ku na thaicom5 provided una receiver angalau ya mpeg4.kwa footy lovers rdv tv inarusha epl mechi 2 kwa wiki na serie A inapatikana kwenye sat w4 inapopatikana dstv hata ukiwa na mediacom 930
 
mkuu inawezekana kutumia satellite dish ya dstv na hiyo receiver?
sijui unamaanisha receiver ipi.ukiwa na 1wapo ya decoders nilizotaja hapo juu au zotete zinazofanana na hizo inawezekana.mimi na2mia decoder ya ting aal-003(mpeg4) kupata sats w4, IS 906 w3a na Is10.
 
Kuhusu which is the best ni ngumu kusema nnachoweza kusema ni kwamba hizo decoders zinarange kutoka SD to HD.inaweza kuwa sd mpeg4 ila hd zote ni mpeg4.kwa hiyo hd decoder ina gharama kubwa zaidi ya sd mpeg4,mf strong srt 49100 inauzwa zaidi ya tsh 450000 hivi wakati strong srt 4669x sd mpeg4 tsh 220000/=uzuri wa strong unaweza kuweka pin codes ukapata channels za kulipia bure.aidha kwa ku2mia ungo wako wa ft6 unaweza kupata satellites 5 tofauti kwa wakati mmoja sats hizo ni intelsat 906,nss12 ku,intelsat10 c&ku na thaicom5 provided una receiver angalau ya mpeg4.kwa footy lovers rdv tv inarusha epl mechi 2 kwa wiki na serie A inapatikana kwenye sat w4 inapopatikana dstv hata ukiwa na mediacom 930

Mkuu arselona mimi huwa nakukubali sana, better called Dr.Satelite! Will u accept? So picha ninayopata hapa ni kwamba kumbe naweza kupata channels nyingi tu kupitia decoders za kawaida mradi tu ziwe mpg4.Kwa hizi bei mi naona ni reasonable endapo kweli nitapata vyote hivyo ulivyosema esp. EPL and other stuffs.Ila sasa vipi hizo channels za kulipia zinadumu kweli? Je, tofauti ya HD na SD ni nini, quality ya picha au the no. of channels. Mpaka hapo mimi naona ving'amuzi mimi tena basi!
 
usiseme ving'amuzi basi decoder ndo king'amuzi ila sema hivi terrestrial decoder basi(ndo hizo zinazo2mia antena za kawaida).SD=Standard definition HD=High definition tofauti ya hivyo vi2 ni quality ya video pics, hd is better than sd.kuhusu hizo channels za kulipia zinadumu ila huwa wanabadilisha pincodes, hata hivyo kuzipata si shida.aidha unaweza 2 kuniita dr.satellite.
 
Back
Top Bottom