Watch online Videos Without Buffering

Watch online Videos Without Buffering

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
SPEEDbit Video Accelerator

* Eliminate buffering of
youtube_logo.jpg

and other web videos

* Watch smooth HD videos with Premium acceleration
* Video Downloader expansion lets you save YouTube videos


Download Freehttp://downloads.speedbit.com/va32.exe


NEW! Get Mac version •
Get Beta version •
Help translate SPEEDbit Video Accelerator



sva_review_title.jpg

Independent Review

Video expert Dave Kaminski tested an HD YouTube video on a faster than 20MB connection and it got stuck 25 times,
while with SPEEDbit Video Accelerator it played smoothly.





 
Ebu tulezee kinachsabaisha buffering kwenye youtube ya google ambayo ina index kibao alafu kishindwe kusababisha bufering wenye speed bit? yaani napenda kujua Speeed bit inatumia protocol gani amabyo ni kali zaidi ya youtube. La sivyo itakuwa ni masoko tu
 
Hii sidhan kama inaboresha bali inarekebisha. Coz kuna wengine due to some software au kitu fulani kinachosababisha video zisiplay kama inavyotakiwa kama nilivosoma maelezo ya jamaa kuwa mtu anaspeed ya 20 MB lakini video ikastuck mara 25 this is abnormal kabisa so hii ikafix tatizo hlo. Lakini sio ukadhan coz unatumia hii software lakn speed ya net ni ndogo bac haitastuck or kuongeza speed. Naah am talkin about self experience. Nilinstall hi kitu na kucompare na kustream ikiwa haipo i saw no difference zaida ya kula virtual memory yangu coz it runs on the background. The best solution is to get a faster internet connection na utastream videos kwa raha kabisa.
 
Without buffering? Labda inaongeza speed ya buffering lakini SIO bila buffering. Ni sawa na kusema unaweza kufungua webpage bila kuload.
 
Back
Top Bottom