Simu mbili

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Jamani mie nina simu tatu ninazotumia siku zote na kila moja ina line yake. Lakini nina ugonjwa wa kusahau na wakati mwingine naweza kusahau simu moja au mbili ofisini au nyumbani. sasa nataka nizi-set ili ikiwezekana walau niwe naweza kupokea msg zangu kwenye simu yoyote hata kama nyingine nimezisahau. Naombeni utaalamu huu kwa wanaojua. Simu zenyewe moja ni samsung na mbili ni nokia
 
Wadau kama mnafaham mpen solution cyo mnamshambulia kwa madongo yeye kaomba ushauri jinsi ya kuziconect ili ziwe km kitu 1
 
ujue hicho kitu hakipo.ila kama ingekuwa ni calls basi ane divert.
 
Simu za line nyingi zimetengenezwa kwa jili ya watu kama wewe, zitumie jipunguzie matatizo.
 
Jamani mie nina simu tatu ninazotumia siku zote na kila moja ina line yake. Lakini nina ugonjwa wa kusahau na wakati mwingine naweza kusahau simu moja au mbili ofisini au nyumbani. sasa nataka nizi-set ili ikiwezekana walau niwe naweza kupokea msg zangu kwenye simu yoyote hata kama nyingine nimezisahau. Naombeni utaalamu huu kwa wanaojua. Simu zenyewe moja ni samsung na mbili ni nokia

Dah! sidhani kama nimekuelewa vizuri. kama ni kupata msg zako zote kwenye simu moja wakati line zingine zipo kwenye simu nyingine, sijawahi sikia hii kitu.
 
Nimewahi kusikia kitu kinachoitwa ku-hack simu. Hii maana yake nini? nilivyosikia ni kwamba msg za simu moja zinapoingia zinapeleka copy kwenye line nyingine pia.
 
Jamani mie nina simu tatu ninazotumia siku zote na kila moja ina line yake. Lakini nina ugonjwa wa kusahau na wakati mwingine naweza kusahau simu moja au mbili ofisini au nyumbani. sasa nataka nizi-set ili ikiwezekana walau niwe naweza kupokea msg zangu kwenye simu yoyote hata kama nyingine nimezisahau. Naombeni utaalamu huu kwa wanaojua. Simu zenyewe moja ni samsung na mbili ni nokia
Mhn... Hii ngumu kumesa.
 
Hiyo kitu sidhani kama ipo mkuu.
Ushauri tafuta simu yenye double line, zipo nzuri tu kama Nokia au Samsung
Na kamaa utapenda waweza nunua hata simu ya mchina zipo zenyekubeba hadi line tano
 
Tafuta mchina Mobile TV,line tano,TV,Radio,Mziki sauti kubwa kama woofer,Touch screen,Memory mpaka 32GB unaweka,Ina eria ndefu unaweza kuitoa nje kupitia dirishani.pale kariakoo zipo shs 63,000/=tu!
 
huyo anataka kwenda ku hack simu ya dem wake sijui mkewe bila shaka sema anashindwa kufunguka tu...wivu huu
 
Aisee! umenichekesha sana asubuhi ya leo dah kweli Mchina hatari!
 
huyo anataka kwenda ku hack simu ya dem wake sijui mkewe bila shaka sema anashindwa kufunguka tu...wivu huu

wakuu hebu tujuzane basi hapo kwenye kuhack sim unafanyaje??

Maana hii kwangu ngeni kidogo cjawahi isikia kabisaaa
 
Back
Top Bottom