Hapa karibuni kama mwezi hivi, modem yangu ya zantel imekuwa na speed ndogo zana, 153kb/sec wakati hapo kabla ilikuwa ina speed ya 3.1mb/sec sasa sijui wenzangu wanaotumia zantel nao ni hivo hivo...
Habari wakuu.
As you might have noticed, i'm a big fan of iPhone na kila kitu kilichokuwa Steve-jobbed. Hivi karibuni Apple wali-release iPhone 4S (iPhone for Steve) ambaye saa hizi amefariki...
Nimenunua moderm ya Airtel lakini kila nikijaribu kuchomeka kwenye kompyuta inaniambia " Window cannot access the specified device or path or file. you may not have appropriate permissions to...
Wakuu naombeni msaada wa kupata program ya video converter nataka kuconvert nyimbo za video mp4 kwenda DVD au kama kuna mtu ana jua free link yoyote yenye program hizo anitupie hapa jamvini...
hebu someni hii khabari imekuwa femous kidogo.. dogo MCHINA ana umri wa miaka 19 tu!... paid a poignant tribute to Apple founder Steve Jobs became an internet hit today with its minimalist...
Wakuu baada ya window xp kunizingua vya kutosha nimeamu kuinstall window 7, iko poa lakn tatizo ni kwamba haijaja na sound drivers. Mwenye nazo au link yake anisaidie.
Latest MACBOOK PRO 13.3 for immediate sale with the following specs:
13.3-inch LED backlit glossy widescreen
Mac OS X Version 10.6.7 (precision aluminium unibody)
Processor - 2.3 GHz
Memory -...
Decide if it's time to leap forward to a brave, new operating system
Apple's new mobile operating system is finally nigh and imminent. Apple fans have been eagerly awaiting iOS 5 since it was...
Wapo ambao nimeshawaelekeza. Kwa wale ambao bado wanateseka ku-upload picha, kujua likes, friend requests, page visitors, editing your information n.k kwa kutumia mobile pata maarifa hapa.
Kuna...
Wadau laptop yangu ilikuwa mpya ila baada ya kuitumia kwa mda nikaamua kuanza kutumia internet ila baada ya kuweka modem ikawa inagoma na kuandika kuwa window has stop working nikaipeleka kwa...
Wadau na watumiaji wa blackberry ningependa tujijuze softwares na applications tofauti tofauti ambazo ni nzuri kwa watumiaji wa blackberry na zinapatinana freely...let's share.
Wakuu nauliza free host web kwani kila niliyotembele nilazima ulipie hata zile nilizokuwa nafahamu zamani zikitoa huduma ya bure sasa unalipia!!!Je zipo za bure??
Nina decorder aina ya mediaCom kwa ajili ya FTA channels bahati mbaya nimefuta channels zote sina utaalamu wa kuzirudisha nilikuwa nikijaribu kuingiza frequency mpya za ITV. Pia channel 10...
Wadau heshima kwenu,
Nahitaji mtu mwenye battery ya laptop inao fit kwenye compaq presario CQ60 au 61 manake yakwangu imekufa sihitaji ya dukani maana bei ni mbaya mno so kwa yeyote mwenye nayo...
habari zenu..kwa wale wataalamu wa haya mambo naombeni msaada..kama kuna softwares za ku instal ama kwenye simu au computer na jinsi ambavyo naweza kuzipata hasa online,na kama kuna chochote cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.