Kwa yeyote anayefahamu Msaada plz

digodigo

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
255
178
Nina decorder aina ya mediaCom kwa ajili ya FTA channels bahati mbaya nimefuta channels zote sina utaalamu wa kuzirudisha nilikuwa nikijaribu kuingiza frequency mpya za ITV. Pia channel 10 nilikuwa siipati hapo kabla yeyote mwenye kufahamu msaada plz
 
Back
Top Bottom