blackberry free soft wares.na applications

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wadau na watumiaji wa blackberry ningependa tujijuze softwares na applications tofauti tofauti ambazo ni nzuri kwa watumiaji wa blackberry na zinapatinana freely...let's share.
 
Wadau na watumiaji wa blackberry ningependa tujijuze softwares na applications tofauti tofauti ambazo ni nzuri kwa watumiaji wa blackberry na zinapatinana freely...let's share.

Not for now sijapata internet for two days now kwenye bb yangu, nimepata meseji kutoka tigo kuea ni matatizo ya blackberry nasikia seva imezidiwa.
 
Yaaah, sasa sijui itakua ok lini...najaribu tumia opera kama browsera, na yenyewe inasumbua
 
Yaaah, sasa sijui itakua ok lini...najaribu tumia opera kama browsera, na yenyewe inasumbua

Aisee kumbe tatizo ni hilo nilikuwa nashangaa sipati intanet kwa nini! Wanataka hizi BBery tuzitupe?
 
Fanya registration kwenye website ya crackberry.com....ina software nyingi mno za bb
 
Back
Top Bottom