Msaada: sound drivers za dell inspiron 6000 yenye window 7

Msaada: sound drivers za dell inspiron 6000 yenye window 7

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
Wakuu baada ya window xp kunizingua vya kutosha nimeamu kuinstall window 7, iko poa lakn tatizo ni kwamba haijaja na sound drivers. Mwenye nazo au link yake anisaidie.
 
Back
Top Bottom