Nahitaji betri ya laptop Compaq

Nahitaji betri ya laptop Compaq

Shark's Style

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
312
Reaction score
183
Wadau heshima kwenu,
Nahitaji mtu mwenye battery ya laptop inao fit kwenye compaq presario CQ60 au 61 manake yakwangu imekufa sihitaji ya dukani maana bei ni mbaya mno so kwa yeyote mwenye nayo ama amesikia kwa mtu ni vizuri anifahamishe ila tu iwe kwenye hali nzuri isiwe imechoka sana.
 
Unash ngapi. Yako inakaa na battery for how long. I have one. Give me the offer n lets busiess. PM me.
 
Wadau heshima kwenu,
Nahitaji mtu mwenye battery ya laptop inao fit kwenye compaq presario CQ60 au 61 manake yakwangu imekufa sihitaji ya dukani maana bei ni mbaya mno so kwa yeyote mwenye nayo ama amesikia kwa mtu ni vizuri anifahamishe ila tu iwe kwenye hali nzuri isiwe imechoka sana.
Aiser yaani hizi compaq CQ60 & 61 zinaongoza kwa kufa battery, ndiyo PC ninayotumia lakini nimeshanunua charger mara mbili na saizi nadaiwa battery kama wewe unavyohangaika. PC saizi imekuwa pass, Ngeleja akifanya vitu vyake kitu nacho huuuuuuh! Aiseee nataka nitafute dell ya ukweli kabisa.
 
Mbona unataka kupotea kabisa, katika brand iliyoingiliwa na feki nyingi ni delll sababu demand yake ilikua kubwa sana embu tafuta brand nyingine mkuu kama sumsung,sony,acer nk
 
Aiser yaani hizi compaq CQ60 & 61 zinaongoza kwa kufa battery, ndiyo PC ninayotumia lakini nimeshanunua charger mara mbili na saizi nadaiwa battery kama wewe unavyohangaika. PC saizi imekuwa pass, Ngeleja akifanya vitu vyake kitu nacho huuuuuuh! Aiseee nataka nitafute dell ya ukweli kabisa.

kuhusu swala la charger zako kufa inatokana na wewe mwenyewe handling yako unakuwa unakunja sana ule waya unaotoka main unit kuingia ktk pc ule ni delicate sana na most of the way ndo panapo piga shoti.
 
Back
Top Bottom