MSAADA PLEAZ:JINSI YA KUTUMIA SIMU(NOKIA 5130c-2)KAMA MODERM

Konya

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
921
112
habari zenu..kwa wale wataalamu wa haya mambo naombeni msaada..kama kuna softwares za ku instal ama kwenye simu au computer na jinsi ambavyo naweza kuzipata hasa online,na kama kuna chochote cha ziada kuhusiana na mada tajwa, natumia NOKIA 5130c-2..natanguliza shukran!!siku njema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom