Nauliza kwa anayefahamu free host web.

Nauliza kwa anayefahamu free host web.

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,945
Reaction score
9,458
Wakuu nauliza free host web kwani kila niliyotembele nilazima ulipie hata zile nilizokuwa nafahamu zamani zikitoa huduma ya bure sasa unalipia!!!Je zipo za bure??
 
Hata ukipata ya bure hudama haitakuwa nzuri kaka, najua zipo za bei ya chini from 50 US$
 
ungesema huduma unayotaka, tunaweza tukakupa alternate free website kwa hichohicho unachotakiwa kukilipia.
 
Bure? Dah ndugu upo ulimwengu gani? Hakuna cha bure mkuu, hata hicho cha bure kina gharama zake. Ufike wakati watu tuondoe dhana mfu kwenye vichwa vyetu jamani.
 
Wakuu nauliza free host web kwani kila niliyotembele nilazima ulipie hata zile nilizokuwa nafahamu zamani zikitoa huduma ya bure sasa unalipia!!!Je zipo za bure??

Zipooo kibaao tu

mfan hii hapa zxq.net/

Mimi nimeitumia kutengenza weby angu nayotumia kujifunza nakufanya mazoezi kwa vitendo mambo mbali mbali ya web.
Sikika Fikika, Tafuta ,Wajibisha


Pia unaweza kucheki review sites zinazo compare web hostmbali mbali mfano http://www.thefreesite.com/Free_Web_Space/

So tumia google kutafuta free webhost review site utapata inayokufaa .
 
Back
Top Bottom