G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wadau laptop yangu ilikuwa mpya ila baada ya kuitumia kwa mda nikaamua kuanza kutumia internet ila baada ya kuweka modem ikawa inagoma na kuandika kuwa window has stop working nikaipeleka kwa fundi akabadili window akaweka vista bussness(hiv ndivyo inavyoandika nikiiwasha) data zote zikapotea na baadhi ya section hazifanyi kazi kama mwanzo
1. Nikiwasha inachelewa kuwaka inachukua mda zaid ya dakika
2.bluetooth yake inatoa data tu na haipokei
3.camera yake inaonesha ndogo sana na haitaki kuwa maxmazed na haina mambo mengine kama visign vyakuongezea kwa photo
4.sehemu ya cd inasumbua mara nyingine inasoma mara nyingine inagoma
hayo ni baadhi ya matatizo niliyoyagundua!
Naomba msaada nifanyaje kuirudisha kama mwanzo?