Habari wanajf.
Nimedownload videos kutoka U-Tube. Hizi video zipo kwenye flv format. Kwenye PC yangu yanafunguka vizuri lakini nilipo-copy kwenye CD na kumpa rafiki yangu ili akafungue ktk dvd...
JAMANI, salaam!
nimeshauriwa kuinstall microsoft security essentials kwa ajili ya protection against sparms, virus etc.hii ni baada ya kaspersky kuisha muda wake. je imekaa vema hii kitu?? nime...
Wadau habari
Jamani naombeni msaada wenu yahoo imekuwa ina matatizo gani mara nyingi nashindwa kulog in inakataa wanadai invalid user id mara chache sana inakubali kwa id hii hii.
Tatizo hili...
Wadau hii computer imenitisha toka juzi nikiwasha ikisha load programs ina anza kunguruma kama mashine ya kusaga yaani kelele nyumba nzima! CPU fan inanguruma sanaa!Nikichomoa wire wa CPU fan ina...
nina cm ya nokia x3 ilikuwa inazngua internet nkaiflash toka ni iflash kila niktaka download 3rd party aplication inadai no certificate. Any 1 anayeweza npa msaada
A laptop is a compact computer and has small components and has very less gaps for ventilation and cooling as compared to a desktop. It has fans that help in throwing the hot air out as well as...
Wanajamii naombeni ushauri wenu. Ninataka kununua laptop na nimevutiwa na modeli mbili moja ya samsung na moja ya dell. Specs zake ni kama zifuatazo:
Dell Inspiron 5040
Processor: Intel core i3...
Wanajamii naombeni ushauri wenu. Ninataka kununua laptop na nimevutiwa na modeli mbili moja ya samsung na moja ya dell. Specs zake ni kama zifuatazo:<br><br><strong>Dell Inspiron...
Wakuu jf,
Laptop yangu (Acer Aspire 5517) ninapata tatizo na usumbufu wa kutowaka kama kawaida.
Kuna siku ilinipa hii msg.
"Window detected a hard disk problem, backup your file immediately to...
Waungwana nime unistall kapersky ya 2010 ili niweke untivirus nyingine bt imegoma kuchomoka,operating system ninayotumia ni window vista,msaada wakubwa!
Wakuu Hamasa yangu kwenye mambo ya graphics inazidi kukua na sasa nataka nipate somo kuhusu video producution.
Sitaki kuwa professional au careers Video producer wa kutumia camera kubwa bali...
Habari wana JF. Nilipokuwa niki update window ya PC yangu, niliwekewa ujumbe ukisema "You may be a victim of software counterfeiting"Je kuna kitu kibaya kitafuatia in the future na kuharibu window...
wadau nimekwama kufanya mautundu kwa hii program ya sony games like playstation 1,2 n 3....as well as Xbox...kuna m2 anaweza nisaidia hacked serial number zake....for those who wish to know about...
Habari zenu wakuu,kuna wakati mtu una haraka kuzima computer lakini inachelewa kuzima.Hii ni njia ya kuizima haraka.
1.Fungua task manager kwa kupress Ctrl+Alt+Del
2.Kwenye menu ya taskbar...
Been searching for free none trial adobe illustrator online for about quarter a day now...but no signs of success, seems i kant get it without giving some dimes! please help