Amateur Video Production - Ushauri unahitajika

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu Hamasa yangu kwenye mambo ya graphics inazidi kukua na sasa nataka nipate somo kuhusu video producution.

Sitaki kuwa professional au careers Video producer wa kutumia camera kubwa bali nataka niweze kutenegza na kuchanganya video clip bora hata kutumia camera ya simu au digital camea ndogo then niziweke youtube kwenye channel hii ya Mtazamaji niliyozidua youtube

Sasa napenda wataaaam wanaojua nondo za mambo haya wanipe detail, mwongozo. articles na links nzur ambazo Ameteur video maker anaweza kujifunza mambo mbali mbli wenye hii fani ya Graphics na kufanya video japo ni za youtube ziwe zimeenda shule

Vile vile nitapenda kufaamu software na nyenzo nyingize nzuri lakini simple zinazweza kutumika kutenegza na kuchanganya movie clips za youtube bora . Movie maker naona wataalm google wanasema sio nzuri . Kwenye yahoo answers una mtaalam ampendekeza Adobe, Sony and Ulead .

Nawasilisha kwa ushauri wenu.

[h=3]http://www.amateurphotographer.co.uk/forums/[/h]
 
Windows Live Movie maker ndo bora kwa amateur, hizo zengine ni pro tools na bei zake nazo ni Pro. Zidhani kama utakosa feature unayohitaji kwenye Movie Maker.
 
Windows Live Movie maker ndo bora kwa amateur, hizo zengine ni pro tools na bei zake nazo ni Pro. Zidhani kama utakosa feature unayohitaji kwenye Movie Maker.
Kang Windows Live movie maker naona kwenye net wanasema huwezi kufanya editing.Hata kama ni ya ameteur basi hii ni ya wale ameteur ambao ninawazidi kiasi. Kama una uozefu na tool nzuri nitajie tu gharama nitachukua mkopo hata benki. mbele ya ujuzi sina mchezo teh teh teh teh .

Tumia Adobe Premiere.
Aksante sana Kiongozi Hii Nitajaribu kuitafuta na kutumia trial ila adobe maana hata photoshop ina madude mengi mpak leo inanisumbua.
 
Cheki hii

unaweza kusikia sauti ilivyo chini na hata picha sio nzuri. Naamin pamja nkuwa na camera ya hli ya chini kuna nanmna watalm wanweza kumshauri mtazamaji njia na nyezo bora ya kuziwekea viungo na viokolombwezo video. Nawasilisha kwa maoni

Mfano mambo nayopenda kujua
  • Kuondoa hizo kelele za background noise
  • Kuweka effect kwenye sauti kama vile iwe ya juu zaidi au iwe pitch tofauti kabisa na ile ilichokuliwa na camera
  • Kukikuza zaidi video bila kuondola ubora eg kutoka kwenye 320X 240
  • Mambo ya mwanga yaani clip iwe clear
  • Kundoa kipande kibovu na kuchanganya changanya picha
  • Kuweke subtiitle wenye clip
Mfano kama hii clip ya huyu jamaa Kuna mtu anaweza kujua katumia nyezo gani utengeza hii clip
 
Last edited by a moderator:
Mie sina uzoefu sana binafsi napenda kufanya mazoezi ktk sony vegas. Kama vipi check nayo kama ipo poa.
 
Mkuu, the best software kwa video editing ni Final Cut Pro
Final Cut Pro is NLE (non-linear editing) at it's best. Final Cut allows you to edit any video format from consumer DV to high-end and professional HD (high definition) digital video. Editing and effects are applied in real-time as both CPU and GPU is used for processing - allowing you view virtually the final result as you edit. Also audio editing is achieved with the highest quality.

The final product can be exported either to DVD, back to tape or internet video such as h.264. All in all Final Cut Pro is a powerful product for the professional user or the video enthusiast.

Lakini kwa kuwa umesha jihami kuwa wewe ni Amateur, basi tafuta kwenye viungo hivi hapa chini:

Mie sina uzoefu sana binafsi napenda kufanya mazoezi ktk sony vegas. Kama vipi check nayo kama ipo poa.

Powa mkuu nadhani nitajaribu Adobe Premiere. aliyepoendekza X paster na hii sony vegas. naoa inasifiwa pia. Hizi nitazifanyia kazi
 
Mtazamaji, mimi na wewe tupo kwenye mtumbwi mmoja. I strongly encourage Adobe After Effects. Ni BALAA! Angalia filamu za Harry Potter effects nyingi AE (After Effects) inatoa. Kwa mfano 'energy ball' na 'energy blast' ambayo ni miale ya nishati. All in AE!
 
Kang Windows Live movie maker naona kwenye net wanasema huwezi kufanya editing.Hata kama ni ya ameteur basi hii ni ya wale ameteur ambao ninawazidi kiasi. Kama una uozefu na tool nzuri nitajie tu gharama nitachukua mkopo hata benki. mbele ya ujuzi sina mchezo teh teh teh teh .

Aksante sana Kiongozi Hii Nitajaribu kuitafuta na kutumia trial ila adobe maana hata photoshop ina madude mengi mpak leo inanisumbua.

Usiwasikilize hao, Movie maker unaweza kufanya editing nzuri sana, tena katika kutafuta software za video editing sijawahi kuona software nzuri kama Movie Maker ambayo ni bure kama Movie Maker. Unaweza kufanya kiribia kila kitu ambacho unaweza kuhitaji, transitions, titles, captions, sound track etc.

Now movie maker sio tool ya composition au special FX kwa hiyo itabidi uende After Effects, Final Cut etc.

After Effects inagonga $1000 ukinunua kihalali, ila ukienda Adobe.com utanaweza kudownload 30 Day Demo.

Final Cut $300 ni Apple tu so kama hauna computer ya Apple isahau, plus watu wengi wanailalamikia version mpya sio nzuri.

Kuna moja inaitwa HitFilm iko cheap at $150 na inaonekana imetulia
http://www.youtube.com/watch?v=WkUmnTHhTAQ&feature=relmfu<a href="http://www.youtube.com/watch?v=WkUmnTHhTAQ&amp;feature=relmfu">
 
Last edited by a moderator:
I'm sure TZ bado hakuna limitation ya software legacy. All you need ni bytes tu then FULL VERSION utapata. At least cracked one.
 
Kama ni Amateur AfterEffects hatoiweza,bora aanze na Adobe Premier.
After Effects ni soo,so pro na ni maalum kwa effects,ukitaka kuedit na kumix videos kirahi na kwa ufanisi,Adobe Premier ndio jibu!Mimi ni mtumiaji sana wa hizi software ndio maana nakushauri hivi.
 
Utaweza kutoa darasa kidogo?
 
Kamnda powa Adobe software zao za mammbo mengi mno Nimejifunza photoshop kidogo lakini ni kama kama najua 10% photoshop. Nitacheki na Premiere.

givenality said:
Utaweza kutoa darasa kidogo?
kweli kabisa itasadia sana lakini kama una bandwidth za kumwaga unaweza pakua hii Lynda.com
 
Back
Top Bottom