Jamani yahoo ina matatizo gani?????????

Puza

Senior Member
Dec 11, 2010
106
12
Wadau habari

Jamani naombeni msaada wenu yahoo imekuwa ina matatizo gani mara nyingi nashindwa kulog in inakataa wanadai invalid user id mara chache sana inakubali kwa id hii hii.
Tatizo hili linatokea hata kwa user wengine wanaotumia computer yangu je nifanye nini kutatua tatizo hili?
 
Wadau habari

Jamani naombeni msaada wenu yahoo imekuwa ina matatizo gani mara nyingi nashindwa kulog in inakataa wanadai invalid user id mara chache sana inakubali kwa id hii hii.
Tatizo hili linatokea hata kwa user wengine wanaotumia computer yangu je nifanye nini kutatua tatizo hili?
Mimi ndiyo naona kituko kabisa inakataa kulog in kwa kutumia cumputer yangu lakini kwenye simu inakubali! Nimebadili PC nyingine ikakataa hadi nilipobadili nyingine tena ikakubali! Yahoo saizi wana shida sana.
 
Ni kweli wakuu kwa simu inafunguka bila zengwe.
Ngoja tusubiri wanajamvi wajuzi labda watatupa solution.
 
Mbona mimi inakubali bila shida nakila siku naitumia!!!!1
 
Nadhani wewe una bahati hili tatizo linaibuka tu kama uonavyo wadau wanazidi kutoa ushuhuda,
wenzetu mnaojua tusaidieni wajemeni.
 
Kwa karibu mwezi sasa Yahoo wana matatizo,nashangaa account yangu inatuma email kwa watu bila ridhaa yangu sometimes inagoma ku-login.Now nimeanza kuhamisha document zangu Gmail
 
mie kuna kipindi ilinigomea kabisa. Ila kuna email zangu nyingine zimefunguka nyingine zimegoma mpaka usawa huu
 
siyo tu kulogin..mimi ya kwangu ina tuma email hovyo..

yaani kuna ma mail yanaingia kwenye inbox kama yana kichaa, texts zake zipo kwa lugha nadhani ya kijapan or so, ALLURE nyingine sweet gold, yaani zinaingia hata mails 150 kwa siku, hata uki mark as spam zinarudi kwenye inbox
 
Kama Yahoo "inatuma" emails ambazo wewe hautumi ujue kuna watu wameingia kwenye account yako, cha kufanya ni kuingia yahoo na kubadili password utaona email zinaacha kutumwa.

Pia ukiwneda kwenye jina lako juu kushoto ukalicki kisha chagua account info, utaona "View recent login activity" hapo itakuonyesha watu wamelogin kutoka wapi kwenye account yako.
 
Wadau habari

Jamani naombeni msaada wenu yahoo imekuwa ina matatizo gani mara nyingi nashindwa kulog in inakataa wanadai invalid user id mara chache sana inakubali kwa id hii hii.
Tatizo hili linatokea hata kwa user wengine wanaotumia computer yangu je nifanye nini kutatua tatizo hili?


Mimi tangu tarehe 17 Oct, nilipobahatika kulog in, nimeamua sitasign out mpaka hadi hapo tatizo litakaposhughulikiwa. Ina siku nyingi tangu ianze tatizo hili.

Mimi nilibahatika (actually baada ya attempty kwa muda mrefu). Ikishakupa hiyo error message, ukushuka chini kabisa kwenye hicho kibox cha kulogin utakuta palipoandikwa 'I can't access my account', bofya hapo kisha fuata maelekezo. Kuna maswali mawili ukifanikiwa kuyajibu fresh itafunguka. Mind you, kuna wakati inakurudisha tena mwanzo, usipanic, we endelea tu kujaribu tena na tena itafunguka. Mimi sija sign out ili kuepuka usumbufu(coz computer naitumia mwenyewe), kama vipi na wewe unaweza usi sign out.

Note: Maswali utakayoulizwa itabidi ukumbuke siku ya kwanza wakati unafungua hiyo account yako, kuna maswali mawili ulichagua ili kwamba siku ukisahau pass word yako uyatumie kufungulia account yako.

Gud luk.
 
jaribuni kuwa mnabadili password mara kwa mara. kuna watu huwa wanahack emails za wengine na kufanya ujinga wao. niliwahi kutokewa na hilo tatizo, nikaamua kuwa nabadili paswords mara kwa mara tatizo la kushindwa ku login limekwisha kabisa
 
Tukumbuke yahoo zina madaraja.yahoomail.yahoo,yahoo.com nk zingatieni haYo wakati mnapo login.
 
Wadau habari

Jamani naombeni msaada wenu yahoo imekuwa ina matatizo gani mara nyingi nashindwa kulog in inakataa wanadai invalid user id mara chache sana inakubali kwa id hii hii.
Tatizo hili linatokea hata kwa user wengine wanaotumia computer yangu je nifanye nini kutatua tatizo hili?

achana na yahoo njooni Gmail..iko poa
 
How can we help you?


Important Notice: Yahoo! Account support has been experiencing high volumes of activity for the past few weeks - There may be delays in our responses if you contact us. For urgent password assistance, click this alert to access our Password Helper.

Select a product

Yahoo! Account Messenger All

Select a category

Abuse and spam Link Yahoo! to other sites Online safety Password and sign in Preferences and settings Register or delete account Suspicious activity Yahoo! Policy
Select a sub-category… error using verification code forgot my password forgot my secret questions & answers forgot my Yahoo! ID sign in seal image is not appearing unable to change birthdate or ZIP unable to change my password unable to sign in unable to sign in on my mobile device unable to sign in, sign in box reappears
Write a short description



Quick Answers

Do any of these articles help you?
Chanzohttp://help.yahoo.com/contact/index
 
How to change your Yahoo! password

Text Size: smallA normalA largeA

ID: SLN2035


Description
This article explains how to change the password on your Yahoo! account.


Resolution
To change your password, you need to be logged in with the ID that you want to change.
  1. From any Yahoo! site, click on your username in the upper-right (or upper-left) corner.
  2. From the pull-down menu select Account Info. (You will be asked to sign in again before you can access your "Account Info" page.)
  3. Click Change your password. (You will have less account security issues if you select a "Strong password." If you'd like more information on this, we have an article entitled "Tips for creating a secure, strong password." )
  4. Follow the instructions to enter your current and new password.
  5. Click Save. You have successfully changed your password!
We have created a video tutorial for your convenience in the event you need further help walking through this process.
Remember, your Yahoo! password always applies to your entire Yahoo! account. This means that your password has changed for all Yahoo!'s personalized services:
  • Yahoo! Mail
  • Yahoo! Messenger
  • My Yahoo!
  • Yahoo! Finance
  • Yahoo! Mobile
For additional information about secure passwords, visit the Yahoo! Security Center.
 
Back
Top Bottom