Vipi hili suala?

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Habari wana JF. Nilipokuwa niki update window ya PC yangu, niliwekewa ujumbe ukisema "You may be a victim of software counterfeiting"Je kuna kitu kibaya kitafuatia in the future na kuharibu window yangu au vinginevyo?Au niendelee na matumizi ya PC bila wasiwas?Unajua tena kwa vipato vya watanzania tuliowengi hatumudu kuwa na GENUINE WINDOW.Nitangulize shukrani kwa mawazo yenu.
 
Sidhani kama itakuwa na shida baadaye lakini in vema ukaifanya hiyo window iwe GENUINE .
 
Habari wana JF. Nilipokuwa niki update window ya PC yangu, niliwekewa ujumbe ukisema "You may be a victim of software counterfeiting"Je kuna kitu kibaya kitafuatia in the future na kuharibu window yangu au vinginevyo?Au niendelee na matumizi ya PC bila wasiwas?Unajua tena kwa vipato vya watanzania tuliowengi hatumudu kuwa na GENUINE WINDOW.Nitangulize shukrani kwa mawazo yenu.
Inaonekana windows unayotumia sio genuine, inabidi utafute winloader ili iyo window iwe genuine.... kama unahitaji naweza kukutumia iyo kitu
 
Nitashukuru kama utatumia hiyo winloader kwani ninahitaji.You may use jeremia.k2011@gmail.com.
 
Nimetuma but imefail labda kama una email address nyingine tofaut na ya gmail
 
Back
Top Bottom