Msaada:Jinsi ya kuconvert ma-files ya''.flv'' kuwa 3gp, mp4.

Msaada:Jinsi ya kuconvert ma-files ya''.flv'' kuwa 3gp, mp4.

rfjt

Senior Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
186
Reaction score
66
Habari wanajf.
Nimedownload videos kutoka U-Tube. Hizi video zipo kwenye flv format. Kwenye PC yangu yanafunguka vizuri lakini nilipo-copy kwenye CD na kumpa rafiki yangu ili akafungue ktk dvd player yake, mafaili hayakufunguka.
Nilipojaribu kucovert kwa kutumia ''Total Video Converter'' pia ilishindikana kwani baada ya ku-import mafaili yalikataa kufunguka.
Mafaili mengine ya format ya 3gp na mp4 yana-coppyika na kufunguka vizuri. Naombeni msaada. Natanguliza shukran.
 
"ALL VIDEO CONVERTER" can help u au download "YOUTUBE CONVERTER"
 
download software inaitwa anyvideoconverter. Ni nzuri kwa ku convert video files. Unachotakiwa kufanya kama unataka kuiweka video katika CD unachotakiwa kufanya ni hiki;unaconvert hizo FLV kwenda MPEG au WMV. Na ni free download hapa Search Results for "anyvideoconverter.com". Au google tu utaipata.
 
ishu so kukonvert ameshindwa kuelewa ni format gan nzuri ya kutumia kwenye dvd player, kaka hiyo total video convetor i think ni best kuliko hizo walizokupa. Hakikisha output inakua mpeg na unapoban ustmumie kama data burn kama dvd
 
Asanteni kwa michango yenu. Ngoja nifuatilie mmoja baada ya mwingine.
 
ishu so kukonvert ameshindwa kuelewa ni format gan nzuri ya kutumia kwenye dvd player, kaka hiyo total video convetor i think ni best kuliko hizo walizokupa. Hakikisha output inakua mpeg na unapoban ustmumie kama data burn kama dvd

total convetor haiwezi kuconvert files ambazo zimetoka youtube,m ilinisumbua sana kama anavyosema mfungua thread but sasa hv natumia anyvideo convetor mambo shwari,ila cha kumsaidia ni format ambazo vinaweza kuplay kwenye VCD/DVD player but anyvideo convetor ni bomba katka kuconvert youtube videos
 
Mkuu natumia phone ningeweka link hapa, ila nenda google search softaware inaitwa FORMAT FACTORY hii kitu ni noma.......mjini shule!
 
Youtube converter can serve you well...try it now and you will appreciate it
 
Back
Top Bottom