Natafuta iphone 3g used ya kununua

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Natafuta Iphone 3g, ambayo ipo used na kwenye hali. Budget yangu ni tsh 250000/
 
laki 2 na nusu nyingi mbona? Wapata simu mpyaaaaaaa, skiliza hizi simu nokia s60v3 zifuatazo, nokia e71, nokia n79 nokia e51, nokia n73, nokia e66 zote zaweza patikana zikiwa mpya kwa hio bei na ukitaka kwa mkononi used waeza pata hadi hizo iphone nakushauri kama wataka kitu quality tafuta wakala wa simu unayotaka nunua wapo wengi posta na kkoo
 
Natafuta Iphone 3g, ambayo ipo used na kwenye hali. Budget yangu ni tsh 250000/
ipo 3G 16GB Unlocked ina screen protector ipo katika hali nzuri sana, 'almost new', niPM kama utafika 350,000/=,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom