Naomba ushauri juu ya kununua laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri juu ya kununua laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mfocbsjut, Oct 22, 2011.

 1. m

  mfocbsjut JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wanajamii naombeni ushauri wenu. Ninataka kununua laptop na nimevutiwa na modeli mbili moja ya samsung na moja ya dell. Specs zake ni kama zifuatazo:

  Dell Inspiron 5040
  Processor: Intel core i3 380m @ 2.53ghz
  Memory: 4gb ddr3 ram
  Hard disk: 500 gb
  Operating system: DOS
  Price :Tsh 890,000

  Samsung RV511
  Processor: Intel core i3 380m @ 2.53ghz
  Memory: 3gb ddr3 ram
  Hard disk: 320 gb
  Operating system: Windows 7 home premium
  Price: Tsh 990,000

  Waungwana naombeni ushauri niko njiapanda. Nilishataka kununua dell ila nikaambiwa na watu kwamba dell za siku hizi nyingi zimeshachakachuliwa hivyo si imara. Please naombeni mawazo yenu.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mimi sio mtaalamu sana wa haya madudu
  Lakini kwa maana ya specification Dell imetisha kwenye memory na hard disk,
   
 3. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 683
  Likes Received: 860
  Trophy Points: 180
  Duh, hivi kumbe DOS bado inatumika kama operating system...DOS ni ngumu kuitumia maana inatumia comand ku run programs
   
 4. z

  zamlock JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nunua laptop yenye window 7 moja kwa moja na kama unataka msaada zaidi nitafute kwa number hii 0714853959
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Je hivyo ndivyo vitu vilivyo muhimu kwako.


  Hiyo Dell imekaa vizuri ila haina GUI OS ya windows ukitaka kununua windows kihalali basi gharama itaongezeka. Nadhani ati ya Dell na samsung chukua Dell. Lakini uwe tayari kuchakachukau wndows Seven au kununua kihalali kama si mtaalam sana.

  Otherwise cheki dell yenye specs kama hizo iwe na OEM OS ya windows uone bei yake Au waambie wakumbi gharm yke kama utaitaji wauwekee Windows 7.

  Vile vile kwa mshine yeyote utayochagua ni vizuri kwa sasa uchgue amabyo ni 64 bit na sio 32. So ulizia waulize hao dell kama hiyo dell na hata hao samsung bei hiyo ni 64 au 43 machine.
   
 6. d

  dacta_d Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kwa ushauri wangu,kama ingekuwa sio swala la uchakachuaji wa hiyo dell,we ichukue sababu km suala ni DOS wala hata sio issue,maana windows 7 ni simple kuiweka,zipo pirated kibao,labda km unataka genuine one,japo hata genuine zinapatikana kama kawa,chukua dell.
   
Loading...