Naomba ushauri juu ya kununua laptop

mfocbsjut

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
473
246
Wanajamii naombeni ushauri wenu. Ninataka kununua laptop na nimevutiwa na modeli mbili moja ya samsung na moja ya dell. Specs zake ni kama zifuatazo:

Dell  Inspiron 5040
Processor: Intel core i3 380m @ 2.53ghz
Memory:   4gb ddr3 ram
Hard disk: 500 gb
Operating system: DOS
Price  :Tsh 890,000

Samsung RV511
Processor:  Intel core i3 380m @ 2.53ghz
Memory: 3gb ddr3 ram
Hard disk: 320 gb
Operating system: Windows 7 home premium
Price: Tsh 990,000

Waungwana naombeni ushauri niko njiapanda. Nilishataka kununua dell ila nikaambiwa na watu kwamba dell za siku hizi nyingi zimeshachakachuliwa hivyo si imara. Please naombeni mawazo yenu.

hakuna chukua kitu DELL kitu cha kazi, zote zimechakuchuliwa, siku hizi zinaanzia lini?, mimi natumia DeLL mpaka naenjoy lakini hizo sumsung kwanza wageni kwenye mtaa wa computer

Back
Top Bottom