Shutdown your pc in seconds

Shutdown your pc in seconds

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Habari zenu wakuu,kuna wakati mtu una haraka kuzima computer lakini inachelewa kuzima.Hii ni njia ya kuizima haraka.

1.Fungua task manager kwa kupress Ctrl+Alt+Del

2.Kwenye menu ya taskbar bonyeza shutdown then shikilia Ctrl kwa sekunde 3 then bonyeza turnoff

Computer yako itazima

NB:kwa ushauri tu,tumia njia hii wakati wa emergency kwani kuitumia mara kwa mara kutaharibu hard disk yako
 
Dah kama inaweza kuharibu hard disc bora kutoi2mia hii njia.
 
Back
Top Bottom