MSAADA Please!!

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Wana jf kuna wimbo niliuckia tbc fm ila cjaupata jina ktk chorus wanaimba ,rock me X 3 baby... mwenye kuujua msaada please maana nimegoogle mpaka bac.
 
eleza zaidi tukusaidie. Ni style gani? reggae, kiswahili, oldies etc.
kuna wimbo wa Bob Marley unasema :we gonna rock it baby, rock it baby, tonight...rock it bay, rock it baby tonight...
Ni huo?
 
eleza zaidi tukusaidie. Ni style gani? reggae, kiswahili, oldies etc.
kuna wimbo wa Bob Marley unasema :we gonna rock it baby, rock it baby, tonight...rock it bay, rock it baby tonight...
Ni huo?

M2 wangu ni kama style ya rock au huwa wanasema mziki wa country
 
si unaimba hivi kama sijakosea ni kama reggae fulani sweet reggae

"rock me rock me rock me baby, rock me till am on the floor...." halafu sijui unaendeleaje na hiyo ya "till am on the floor" am not even sure kama ni sawa but sounds like that.
 
Sijui ndo huu
 
Last edited by a moderator:
M2 wangu ni kama style ya rock au huwa wanasema mziki wa country

Mkuu kwa vile kipendacho moyo........!
Inabidi utumie process ndefu kigodo maana unaweza ukawa maneno uliyosikia sio jina la wimbo wenyewe, ila naamini ukitake time utafanikiwa tu.

Kwanza jaribu ku google ukitumia maneno hayo unayokumbuka. Kwa mfano: Rock me baby-lyrics. Italeta options kadhaa za nyimbo yenye maneno kama hayo na waimbaji wake. Utapitia kila moja ili kuona ni maneno gani unaweza kukumbuka. Baada ya hapo unaweza ukarequest kudownload/play wimbo mmoja mmoja kwa kutumia: Hulk Share - Easy way to share your files Mimi huwa natumia mbinu hii kila mara na nafanikiwa bila shida. Disadvantage ni ile tu kwamba inatake time.

Good luck.
 
si unaimba hivi kama sijakosea ni kama reggae fulani sweet reggae

"rock me rock me rock me baby, rock me till am on the floor...." halafu sijui unaendeleaje na hiyo ya "till am on the floor" am not even sure kama ni sawa but sounds like that.

Yeah! m2 wangu ndio huo huo unaitwaje na nani kauimba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom