Kwa wale wajuzi wa vitabu vya kwenye internet, msaada wenu pls!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wajuzi wa vitabu vya kwenye internet, msaada wenu pls!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ligogoma, Dec 5, 2011.

 1. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,131
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Habari wana Jf!
  Mie nina shida ya vitabu vya kwenye net (e books) vya NEW MEDIA TECHNOLOGY! Nimegoogle mpaka nimechoka.

  Tafadhali mwenye msaada huu nitashukuru sana, hata kwa kununua pia nipo tayari!!!

  Nawasilisha
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Install Amazon Kindle (pc au simu) alafu usearch.Nimejaribu nikapata vingi tu vya kununua na vya bure.
   
 4. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 5. mtanganyika tz

  mtanganyika tz Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo soft ware umeitolea wapi? navyojua amazon ni kampuni y kibepari! hivi kweli watakua na vitabu vya bure?
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nadhani inahitajika mtaalam mmoja aje aelte shule ya ku google ili mtu apate best result.

  Lakini kwa issue ya vitabu ni rahisi ukiwa na kimoja kati ya jina la mwandishi au Titttle au ISBN ya kitabu. Itakusaidia zaidi kupata kirahisi na kwa muda mfupi

  kugoogle "programming books" ni tofauti kugoogle "C programming Books" na ni Tofauti na ku google " Lets C" au Yashwant Kanitkar. frm general to specific.

  • Unaweza kusaka tiitle kwa kutumia google books kama hii hapa then ukipenda tiitle na kusoma reviews kitafute kwenye torretnts au file sharing site . Kama una mshiko wa utosha jisalimishe Amazon.
  • Unaweza kutumia Amazon kama search tool kupata Info ya tiitle na mwansdishi then ukishajua booklet zuri basi kama kawa kue ule wenye toen na file sharing site . Au unaadika kwenye google download XXXX( Where XXX is a book tiitle). Ukiona resulut zinazokuja zinakupeleka kwenye site kama filesonic,medifire au megauppload jua umekipata kwa gharama ya bandwidth yako tu.

  Nawasilisha
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Android market, mwenyewe nimeangalia kuna vitabu vingi tu vya bure (hata anavyotaka mshkaji hapo juu) .

  Ukitaka kudownload we google tu Amazon Kindle download for. . . . . . alafu jaza kama ni window, mac, ipad au android.
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Media technology ni pana sana, bora ukahainisha vitabu gani unavitaka, taja masomo i.e: C++, CSS, XHTML, JavaScript, Flash or Macromedia... Then wadau watakusaidia.
   
Loading...