Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mpka leo akaunt yangu imehackiwa hatari sana
2 Reactions
1 Replies
403 Views
Tafadhali shufu somo hapo juu, Niko na magrup ya whatsap mengi ya kazin na kijamii. Kwa sasa niko nje ya kazi nataka kuya-Cease yote ya kazin kwa kipind hiki cha miez 3 ntakachokua nje ya kazi...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
๐—ก๐—ฎ๐—บ๐—ฒ-๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ฝ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ถ๐—ผ๐˜€ ๐Ÿญ๐Ÿณ Sio lazima kila mara utaje namba yako ya simu kwa mtu ? Unaweza share namba yako ya simu na simu nyingine kwa kugusanisha tu kwenye iphone. Apple...
1 Reactions
5 Replies
890 Views
iOS 17 inatoka septemba Apple imesema mfumo mpya wa iOS ya 17 utaanza Ramsi kupatikana kuanzia mwezi septemba kwa watumiaji wake wote. Kuna baadhi ya simu hazitaweza kupokea tena mfumo wa iOS ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwenye simu nyingi za Infinix Kuna feature inaitwa ๐— ๐—ฒ๐—บ๐—ณ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ผ๐—ป umeshawahi kutumia? Je unaijua inafanya Kazi gani ? Leo nitakujuza Kama ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… Kuna feature inaitwa Memfusion kazi yake ni...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Umechoka tabia ya kuchaji simu mara tatu kwa siku ? Unajua akuna anayependa kumiliki simu ambayo aikai na chaji. ni muhimu kuokoa maisha ya betri kuondokana na mambo ambayo yanaweza kuleta athari...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu wa tech. Nina game la mpira PES 2017 kwenye kompyuta yangu nikiwa na patch ya 2023. Juzi nimepiga Windows mpya game ikagoma kuplay ikihitaji baadhi ya files, hivyo anikaamua...
0 Reactions
4 Replies
969 Views
At Nokia World in Abu Dhabi, Nokia has unveiled the Lumia 1520 phablet and Lumia 2520 tablet. The Lumia 1520 is a hilariously oversized 6-inch Windows Phone 8 phablet with a sexy 1080p display...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kidogo kidogo tunanyata kwenye mambo ya Teknolojia, lakini hata pole pole ni mwendo. Najua hapa kwetu Tanzania kwenye suala zima la Teknolojia bado tupo nyuma lakini bado wapo wadau wanaopambana...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
IOS 17 ita support kuanzia iPhone SE (second gen) Xr Xs Xs max Na kupanda juu. Kwa maana hii iPhone X imestaafishwa rasmi usiku huu
1 Reactions
0 Replies
650 Views
Wakuu msaada wa kuondoa tatizo la maandishi kuwa makubwa upande wa sms nashidwa jinsi ya kuyapunguza, nimeenda kule kwenye settings ipo small sawa sawa , ila shida ni kwenye upande wa sms tu
0 Reactions
6 Replies
829 Views
WanaJF naombeni mnisaidie jinsi ya kublock no ya simu kama sitaki anipate hewani angali no zingine zinanipata
0 Reactions
38 Replies
25K Views
Habari zenu wakuu mbalimbali [emoji23][emoji23] Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10โ€ฆcha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi...
2 Reactions
10 Replies
962 Views
Watumiaji wa Whatsapp watakuwa na uwezo wa kuediti ujumbe walioutuma kwa watu baada ya kukosea. Labda umetuma ujumbe kwa mtu lakini umekosea kwa bahati mbaya kuandika ulichokusudia basi utakiwi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ฆ๐—ฐ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ๐—ป ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ Miaka ya nyuma baada ya Meta kuinunua Whatsapp walisema lengo Leo ni kuitaka Whatsapp kuwa na feature nyingi Zaidi za kupendekeza na...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF! Naomba kuuliza kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya hili. Hivi tukifuta PICHA kwenye Simu huwa zinakwenda wapi? Kuna PRIVACY kweli kwenye vifaa hivi? Msaada kwa anajua
11 Reactions
111 Replies
12K Views
Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa mtumiaji wa samsung kwa muda mrefu lakini miaka miwili iliyopita niliiweka pembeni simu yangu ya zamani Samsung s20+5g sikuitumia kabisa baada ya kujiunga kwenye simu za ulimwengu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Niaje Maumivu yameisha ila simu haikuwahi kunisumbua kwa chochote bado iko good kwa kila idara sanasana upande wa camera sema kuna ngosha mmoja katokea kaielewa anataka kunipa 400k hapo...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Aina - Boeing 767-300F Uzito wa Mzigo - Tani 52.7 (Futi 15,469) Kasi (Speed) - Kilomita 850/900 kwa Saa Ujazo wa Mafuta - Lita 90,770 (Inatumia Dakika 28 hadi kujaza matenki yote) Uzito wa Jumla...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ