Samsung s20+5g haikubali software update kwa kutumia Mobile data ?

Madumbikaya

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
638
1,902
Nimekuwa mtumiaji wa samsung kwa muda mrefu lakini miaka miwili iliyopita niliiweka pembeni simu yangu ya zamani Samsung s20+5g sikuitumia kabisa baada ya kujiunga kwenye simu za ulimwengu mwingine ambazo ni powerful lakini hazina majina

Leo nimeiwasha samsung s20+5g inanihitaji nifanye software update kwa kutumia wi-fi tu

Nimejaribu kila aina ya setting kwenye mobile data na kuzima wi-fi lakini simu inakataa,Inataka software update kwa wi-fi tu

Msaada mwenye uzoefu jinsi ya ku update kwa mobile data anipe uzoefu kwa hii samsung s20+5g

Je ?Lazima nitumie wi-fi wakati nina mobile data

Mwenye

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2615780
 
Niuzie Mimi hiyo simu chief
 
S20+ toleo la ovyo mno kuwahi kutolewa na samsung .niliinunua nikakaa nayo wiki2 nikauza bei ya maandazi.pitia coment zake gsm arena uone mapungufu yake
 
Issue hapo simu yako ni Refurb hizi za mitandao ya simu marekani, korea etc

Unlocked phone zinakua na option ya ku update hata kwa mobile data
Basi simu zote za Dar es Salaam kwa agents ni refurb pale Mlimani city?

Maana hata 3mm headphone jack hakuna kwenye hizi refurb za agents wa mlimani city

Inakuwaje wanatoa warrant ya muda mrefu sana na warrant inajumuisha kioo

Nimewahi tumia samsung s10 plus kwa miezi saba nilinunua mlimani city nikapasua kioo kwa bahati mbaya wakanibadilishia ,

Simu zangu huwa siweki protector na waliniambia hivyo kuwa nisiweke madoido ili kukiwa na tatizo la kioo wanibadilishie
 
Sifahamu mkuu, jaribu kudownload cpu Z ucheki soc yake kama ni Exynos ama Snapdragon.
 
Sijatumia Samsung miaka kibao, tokea S7 Edge. Sijui nimemiss nini ila nikionaga Screens za izo simu nazitamani ila nikiwaa kununua naona hapana.

Zinashuka bei kwa kasi sana. Unaweza nunua leo S22 Ultra Mil 1.4 ila baada ya miezi 5 unaweza kuta zinauzwa Laki 7.

Same issue nimeiona kwa Google Pixel, unanunua leo Pixel 5 kwa Laki 5 ipe miezi 6 unakuta Laki 3.

iPhone anajitahidi kubaki na bei ile ile mfano sahivi iPhone 13 unakuta unaipata kwa Mil 1.4 wakati ni simu ya 2021.
 
Back
Top Bottom