Windows 10 updating imekuwa kero!

Quicklime

Senior Member
Mar 30, 2011
174
62
Habari zenu wakuu mbalimbali
Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10…cha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi kero,unaweza jua click kitu mpaka kifunguke ni shida nyingine…
So mwenye uzoefu tafadhali anisaidie jinsi ya kuondoa hii changamoto!
Nawasilisha
 
Kwakweli hata mimi ninasubiri wataalam. Ninapiyia changamoto hiyo
 
Habari zenu wakuu mbalimbali
Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10…cha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi kero,unaweza jua click kitu mpaka kifunguke ni shida nyingine…
So mwenye uzoefu tafadhali anisaidie jinsi ya kuondoa hii changamoto!
Nawasilisha
Ikiwa nzito fungua Task manager angalia nini kimejaa. Cpu, ram ama Hard disk? Kama ni cpu tafuta machine nyengine, kama ni ram ongeza, kama ni storage weka ssd.

Kuingia task manager right click kwenye taskbar kisha chagua task manager.
 
Fanya disk cleanup itakaa sawa... Ujue windows ikimaliza ku update inabakiza file lake lile la GB 3-5 kwenye local disk C mpaka ulifute mwenyewe ukimaliza restart PC itakaa sawa..
 
Ikiwa nzito fungua Task manager angalia nini kimejaa. Cpu, ram ama Hard disk? Kama ni cpu tafuta machine nyengine, kama ni ram ongeza, kama ni storage weka ssd.

Kuingia task manager right click kwenye taskbar kisha chagua task manager.
Mkuu ni vitu gani hasa vinaweza kuchangia CPU kujaa haraka?
 
Habari zenu wakuu mbalimbali
Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10…cha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi kero,unaweza jua click kitu mpaka kifunguke ni shida nyingine…
So mwenye uzoefu tafadhali anisaidie jinsi ya kuondoa hii changamoto!
Nawasilisha
Kabla ya kukushauri
weka specifications za maxhine isijekuwa umenunua refub tena ilikuwa na windows XP halafu utegemee windows 10 ikae na performance yake

√ RAM
√ Motherboard
√ HDD
√ Processor

Anzia hao kwanza
 
Nashukuru,pc yangu ina specs zifuatazo....
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-06-04 at 20.27.49 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-06-04 at 20.27.49 (1).jpeg
    78 KB · Views: 13
Back
Top Bottom