Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,619
Umechoka tabia ya kuchaji simu mara tatu kwa siku ? Unajua akuna anayependa kumiliki simu ambayo aikai na chaji.
ni muhimu kuokoa maisha ya betri kuondokana na mambo ambayo yanaweza kuleta athari ya kuchaji kila mara.fanya mambo yafuatayo kuongeza maisha ya betri kwenye simu yako [emoji116]
1) 𝗔𝗰𝗵𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗶𝗸𝗶𝗳𝗶𝗸𝗮 𝟵𝟬%
sio lazima kuchaji simu yako mpaka 100% kila wakati.unaUuweza kuondoa chaji ikifika asilimia 90% tu kwani itaondoa uwezekano wa kuchaji simu kupita kiasi au kuzidisha joto itakusaidia kulinda maisha ya betri la simu yako.
3) 𝗣𝗼𝘄𝗲𝗿 𝘀𝗮𝘃𝗶𝗻𝗴 𝗠𝗼𝗱𝗲
Watu wengi hawatumi power saving mode ila hawajui kuwa inawasaidia sana kuokoa maisha ya betri la simu yako. wale watu wa kutumia sana mitandao ya kijamii, kucheza game, kutizama movies itafanya simu kudumu muda mrefu.
4) 𝗧𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶 𝘇𝗶𝗹𝗶𝘇𝗼 𝘀𝗮𝗵𝗶𝗵𝗶 𝗽𝗮𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲
kutumia kila chaji au kila usb kuchaji simu zetu inaonekana kama ni wazo zuri lakini kunaweza leta athari ya kudumu kwenye maisha ya betri. Hakikisha chaji unayotumia ni kampuni husika au ikiwa kampuni nyingine ni original ili kulinda maisha ya betri sio kutumia kila chaji.
5) 𝗢𝗻𝗱𝗼𝗮 𝗮𝗽𝗽 𝗺𝗮𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗵𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶
unajua program nyingi zilizopo kwenye simu huwa zinatumia chaji hata kama hutumi watu wengi hawajui hii. sasa ili kulinda afya ya betri lako ni muhimu kuondoa app ambazo sio muhimu au hutumi kwenye simu pia punguza app zilizopo Kwenye home screen.