Msaada wa namna ya kusitisha Chats za Magroup ya WhatsApp bila Ku-left na Kula data

Mastamind

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,202
664
Tafadhali shufu somo hapo juu,
Niko na magrup ya whatsap mengi ya kazin na kijamii.

Kwa sasa niko nje ya kazi nataka kuya-Cease yote ya kazin kwa kipind hiki cha miez 3 ntakachokua nje ya kazi niyazuwie chats zake yabak yale tu nayodeal nayo kwa sasa.

Nimejaribu kuya-Archieved na kumute lakin wapi bado chats zinaingia hukohuko na kula data zangu.

Kama kuna anayejua kuya-Cease bila kuleft na kuladata plz help
 
Ingia kwenye group ile sehemu ya kuleft walipoandika exit achana napo bonyeza pale walipoandika report group bonyeza hapo utafuata hatua zinazofuata
 
Boss hiyo haiwezekani ila cha kukusaidia nenda tu kwenye settings ya wasap automatic download iondoe nikiwa na maana ya video, document,gif, sticker,photo, na vitu vingine vinavyokula data vitaingia wasap lakini havifunguki mpaka pale utakapo click,,,,,,,,,,, asante sana
 
Back
Top Bottom