Unajua screen sharing kwenye Whatsapp?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ฆ๐—ฐ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ๐—ป ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ

Miaka ya nyuma baada ya Meta kuinunua Whatsapp walisema lengo Leo ni kuitaka Whatsapp kuwa na feature nyingi Zaidi za kupendekeza na kuvutia ulimwenguni.

Kupitia tovuti ya wabetainfo, Kuna feature mpya inakuja nzuri sana ambayo itaweza kuruhusu kuweza kushare smartphone skrini zao na watu wengine kupitia video call.

Muda sio mrefu hii feature itaachiwa ila watu wa mwanzo kutumia ni wale wa Beta testers ambao wako na Version ya Whatsapp kuanzia ya2.23.11.19 walio update toka Google play store.

Mtumiaji atakua na uwezo wa kushare skrini yake wakati Yuko kwenye video call pamoja na wengine ikitokea tu amebonyeza icon ya kushare basi watu wataweza kuona vitu vyote vilivyopo kwenye kioo chake ambapo itakua recorded na kushare kwa wahusika wengine.

Unaweza kuzuia skrini sharing kwa kubonyeza stop sharing during call. Hii feature ni nzuri Ikiwa Kuna mtu anahitaji kushare vitu na wenzake waone kwenye skrini yake.

๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ :
Hii haitafanya kazi Ikiwa uko na groups call ya watu wengi pia Haiwezi kufanya kazi kwenye simu zenye mfumo wa android version za kizamani pia kama anayetaka kuona kama anatumia simu ya kizamani atoweza kuona Chochote.
 
Hii feature Telegram wanayo kitambo sana. Niliitumia kuachana na kabinti fulani mapepe
Telegram ni messenger iliyo na focus za mbali sana.. Wana features nyingi tu ambazo WhatsApp akianza kuwakopi atachoka na huenda atakaribia kufanana fanana na telegram..
 
Sasa hapa ndoa nyingi Keisha habari unapigiwa video alafu unaambiwa weka screen share mchepuko anatuma sms inasomeka
 
Back
Top Bottom