Simu zitakazotumia mfumo wa iOS 17 unazijua

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
iOS 17 inatoka septemba

Apple imesema mfumo mpya wa iOS ya 17 utaanza Ramsi kupatikana kuanzia mwezi septemba kwa watumiaji wake wote.

Kuna baadhi ya simu hazitaweza kupokea tena mfumo wa iOS ya 17 kuanzia iphone 8 , iphone 8 plus pamoja na iphone X.

Iphone zitakazo pokea toleo jipya la iOS ya 17
• iphone 14 series
• iphone 13 series
• iphone 12 series
• iphone 11 series
• iphone Xr
• iphone Xs
• iphone Xs max Pamoja na
• iphone SE (2nd & 3rd Gen)

Vipi simu yako itaweza kupokea mfumo mpya wa iOS 17?

png_20230606_092133_0000.jpg
 
Sidhani kama ni mpaka mwezi wa 9 maana wale wazee wa beta tayar wameshapewa.
 
iOS 17 inatoka septemba

Apple imesema mfumo mpya wa iOS ya 17 utaanza Ramsi kupatikana kuanzia mwezi septemba kwa watumiaji wake wote.

Kuna baadhi ya simu hazitaweza kupokea tena mfumo wa iOS ya 17 kuanzia iphone 8 , iphone 8 plus pamoja na iphone X.

Iphone zitakazo pokea toleo jipya la iOS ya 17
• iphone 14 series
• iphone 13 series
• iphone 12 series
• iphone 11 series
• iphone Xr
• iphone Xs
• iphone Xs max Pamoja na
• iphone SE (2nd & 3rd Gen)

Vipi simu yako itaweza kupokea mfumo mpya wa iOS 17?

View attachment 2647544

Damn x series bado zipo tu?
 
Back
Top Bottom