Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Natumia Nokia 6300, tatizo ni kwanba nikidownload au kureceive kwa bluetooth nyimbo, video na vitu vingine baadhi ya nyimbo zinaplay na zingine zinaandika 'file format not supported' wakati...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu hii laptop yangu ni inspiron 1525 nikiiwasha inaniletea msg ya no bootable device,lakini hard disk yake nikiiweka kwenye mashine nyingine inaonekana ila nikiiweka hata hard disk mpya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kweli hapa ni patamu bhanaaaa, baada ya wiiki ukibrowse tu, free enternet hacked. mara e2themia mara nani utasikia ya TIGO, MARA YA VODA, airtel na TTCL ndo BADO. yani mara ya mwisho kujiunga na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
By James Bruce I recently bought a nice new setup for my media centre, but I didn't want to splash out on another DVD drive when physical media is basically dead – and swapping out a DVD...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sasatel hawako hewani, vipi? Tangu jana jioni - both internet na simu. kulikoni? Ndoyo maana wachangiaji wengi leo hawamo humu.
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Habari wana JF, natafuta house ya acer aspire 5610z coz laptop yangu immeharibika bawaba (imepasuka) haifungi kwaio iko kama desktop nashindwa kuikunja... nimezunguka kwa mafundi wakaniambia paka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi Alhamisi nilifanikiwa kufuatilia kikao cha bunge kutwa nzima. Lakini jambo nililoligundua ni kuwa kumbe tunaweza kutumia faida ya teknolojia kuokoa rasilmali mtu ambayo nadhani inaweza...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Eti hii imekaaje? Juzi nime flush 4n yangu sasa hvi nikidownlod application yeyote kama opera mini haifanyi kazi kabisa. Kwa mwenye ujuzi anisaidie plz. Thankx
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau wana jamvi natumai mmeamka uzur, naombeni msaada wenu kuokoa jahazi kwan kila kunapokucha hii pc inazid kuwa slow tofauti na siku za nyuma kabla sijainstall avira ant virus nakui scan...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
ndio wakuu wote za masiku? nilipotea kidogo niliingia chimbo. nweiz naomba msaada wakufanya installation ya custom firware kwenye psp ili niweze kuplay downloaded iso games.
0 Reactions
2 Replies
973 Views
wakuu niko mbeya, nimekuja na modem yangu ya ttcl, sasa tatizo ni kwamba kila nikitaka kuweka vochar inashindwa kuconnect, nikipiga number 100 ili niweze kuweka voucher inakataa... Au mbeya hakuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kujua Tanzania ina madini ya Lead Ore na Silver ore? kama yapo yanapatikana mikoa gani mwenzangu mnijuze.
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Apple wametoa toleo jingine la version ya operating system ambayo inaleta features za iOS devices (iPhone) to mac
0 Reactions
4 Replies
971 Views
wanajamii nina tatizo hasa pale ninapochange ip address pamoja na port kwenye browser (mozilla) na kutumia zile za marekani mashine inakuwa na internet access lakini haifungui web page na inanipa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
The Blood Typing Farce At least 95% of the population, who have blood type ‘O’ and ‘A’ which are the thinnest blood and lowest blood volume, and blood type ‘B’, have copper deficiency, due to...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
habari za kwenu, Naomba msaada, nimeingia kwenye gallery yangu nikaenda kwenye folder la kuwekea picha na video nakuta liko empy kabisaa.. hii ni mara ya pili inanitokea..mara ya kwanza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
At least 95% of the population, who have blood type ‘O’ and ‘A’ which are the thinnest blood and lowest blood volume, and blood type ‘B’, have copper deficiency, due to slow poisoning from blood...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Jamani nashindwa customize pages za joomla niliyo download na je yale mafile naya upload vipi kwenye servers za webs.com
0 Reactions
11 Replies
2K Views
The East Africa Submarine System (EASSy), a submarine fibre cable system on the East coast of Africa, has encountered problems since yesterday morning. EASSy’s South African landing partner...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
WAUNGWANA, kwa wale wajuzi wa adobephotoshop cs4, naombeni msaada wa serial number zake (key) nataka ku'instal nashindwa kwenye stage ya ku'insert S/N
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom