Yeyote anayetumia line za 500 ama 1000 zenye free internet atoe ushuhuda hapa!

BAOSITA

JF-Expert Member
Nov 2, 2011
368
188
Habarini watata wenzangu wa Tech!Kumekuwa kuna watu wanadai kuuza line zenye free internet na wengine kudai kwamba hizo line ni zile zinazouzwa mitaani kwa sh 500 ama 1000 na ambazo hazijasajiliwa!Sasa kutoka na bughudha ya hizi tetesi,nimeona bora tupeane ushuhuda hapa wa hicho kitu.Kama kuna yeyote aliyefanikiwa kufany hivyo,tafadhali tugawane hayo maujanja hapa!

You heard me!
 
Mkuu kwa nini usubirie wenzio watoe ushuhuda ingali we mwenyewe unaweza kuthibitisha kwa kununua hizo line 500 na 100 uone kama utapata hiyo free internet mnayo daganywa nayo hapa.

Kutokusajiliwa kwa line ya simu hakuna uhusiano wowote na kupata internet ya bure, labda kama kuna makosa ya kiufundi ambayo yanapelekea mitambo kutokutambua hizo line na bado haingii akilini

Nachojua mimi kuna wajanja wachache wananunua line na kuziunga kwenye package ya mwezi ambayo ni tsh 30,000 na kuziuza na kudanganya watu kuwa ni line za deal ambazo unapata free unlimite internet na kuwauzia kwa tsh 50,000 au 70,000 na mwezi ukiisha net inakata na hapo ndipo watu wanapo angua vilio kama watoto

Hii imewapata jamaa zangu kama watatu hivi, ukweli ni kwamba hakuna kitu kama icho
 
mi nilshatest sikufanikiwa...
 
Tetesi za uongo hizo ndo maana huna uhakika.
Usipende vya dezo,
Mi natumia tigo max full,sina shida ya vya bure...ila nikisaidia wenzangu wasio na uwezo sio mbaya!Unakwaza sana mkuu,usingejisumbua kupita hapa sasa kama hupendi vya bure!
 
Habarini watata wenzangu wa Tech!Kumekuwa kuna watu wanadai kuuza line zenye free internet na wengine kudai kwamba hizo line ni zile zinazouzwa mitaani kwa sh 500 ama 1000 na ambazo hazijasajiliwa!Sasa kutoka na bughudha ya hizi tetesi,nimeona bora tupeane ushuhuda hapa wa hicho kitu.Kama kuna yeyote aliyefanikiwa kufany hivyo,tafadhali tugawane hayo maujanja hapa!

You heard me!

Mi nimetumia kaka sh 1000 sema now zimekata zilikua ni tigo. Si uongo
 
Mkuu kwa nini usubirie wenzio watoe ushuhuda ingali we mwenyewe unaweza kuthibitisha kwa kununua hizo line 500 na 100 uone kama utapata hiyo free internet mnayo daganywa nayo hapa.

Kutokusajiliwa kwa line ya simu hakuna uhusiano wowote na kupata internet ya bure, labda kama kuna makosa ya kiufundi ambayo yanapelekea mitambo kutokutambua hizo line na bado haingii akilini

Nachojua mimi kuna wajanja wachache wananunua line na kuziunga kwenye package ya mwezi ambayo ni tsh 30,000 na kuziuza na kudanganya watu kuwa ni line za deal ambazo unapata free unlimite internet na kuwauzia kwa tsh 50,000 au 70,000 na mwezi ukiisha net inakata na hapo ndipo watu wanapo angua vilio kama watoto

Hii imewapata jamaa zangu kama watatu hivi, ukweli ni kwamba hakuna kitu kama icho

Si line ambazo hazisajiliwa tu zilikua line hazijasajiliwa then zimechakachuliwa watu wapige bila kusajili at the same time kumbe tigo wana bugs so zikawa zinaingia net bure.

So watu wakawa wananunua kwa bei rahisi maana wauzaj wao walijua unanunua siku moja unamtukana mtu then unavunja (ndo ilikua kaz yake)
 
Mi natumia tigo max full,sina shida ya vya bure...ila nikisaidia wenzangu wasio na uwezo sio mbaya!Unakwaza sana mkuu,usingejisumbua kupita hapa sasa kama hupendi vya bure!

orait!!!:washing:
 
Si line ambazo hazisajiliwa tu zilikua line hazijasajiliwa then zimechakachuliwa watu wapige bila kusajili at the same time kumbe tigo wana bugs so zikawa zinaingia net bure.

So watu wakawa wananunua kwa bei rahisi maana wauzaj wao walijua unanunua siku moja unamtukana mtu then unavunja (ndo ilikua kaz yake)

Duh! Line za kutukania watu? Sasa wenzio wanasema line hizi ambazo ziko mtaani ndizo hizo zinatoa net ya bure kwa mujibu wa maelezo ya Baosita
 
Hizi laini nahisi zipo, mi nilinunua laini nne za mtandao fulani,moja ya hizo laini ilikuwa na net ya bure,nilitumia kama 200GB kwa kipindi cha siku 22.Nilidownload movies,games,series,watch matches online etc.Nadhani huwa ni makosa ya kiufundi yanatokea katika mitambo yao.
 
ni laini ambazo ukiziweka kwenye simu tu zinasema, karibu katika familiya yetu......tofauti na laini nyengine. ndani ya box la laini 60 laini chache ndio huwa na tabia hizo. kama upo znz ni pm sasa. kama upo dar ni pm baada ya 20 march. ninazo kama 5 hivi
 
Hizi laini nahisi zipo, mi nilinunua laini nne za mtandao fulani,moja ya hizo laini ilikuwa na net ya bure,nilitumia kama 200GB kwa kipindi cha siku 22.Nilidownload movies,games,series,watch matches online etc.Nadhani huwa ni makosa ya kiufundi yanatokea katika mitambo yao.

Kwa hesabu za haraka haraka kwa speed ya mitandao yetu ambayo download speed yake hata haifiki 1mbps ni ngumu sana kudownload 200GB ndani ya siku 22
 
Habarini watata wenzangu wa Tech!Kumekuwa kuna watu wanadai kuuza line zenye free internet na wengine kudai kwamba hizo line ni zile zinazouzwa mitaani kwa sh 500 ama 1000 na ambazo hazijasajiliwa!Sasa kutoka na bughudha ya hizi tetesi,nimeona bora tupeane ushuhuda hapa wa hicho kitu.Kama kuna yeyote aliyefanikiwa kufany hivyo,tafadhali tugawane hayo maujanja hapa!You heard me!

mimi ni m1 wapo nanaetumia hizo line ni kweli zipo za free internet ila sio hizo za sh 50 hizi ni special line
 
Kwa hesabu za haraka haraka kwa speed ya mitandao yetu ambayo download speed yake hata haifiki 1mbps ni ngumu sana kudownload 200GB ndani ya siku 22

Inawezekana.Laini yangu ilikuwa inafikia spidi ya 2.95 mida ya asubuhi na usiku wa manane,movie moja ya 700 MB ilikuwa inachukua 40 minutes.
 
Sinasababu ya kudanganya mi natumia tena nlinunua mia 500.nina mwezi na wiki moja tangu ninunue.Nilivyo ipata nilikuwa home kilimanjaro dogo akawa anataka fungua facebook nikamwambia hutaweza kwasababu mi natumia zile porxy za voda facebook haifungui.Nikamwambia anunue line nimunganishie na huduma ya miatano acheki facebook yake fasta .basi akakunua line alivyo niletea nikaweka kwanza kwenye simu ili nikewe vocha kabla sija weka vocha nika ingia opera mini ikakubali kufungua net.fasta fasta nikaitoa nikaweka kwenye moderm ikakubali lakini ilikuwa ikishika edge ambayo inaload taratibu nikachukua vocha zile .nikampa dogo mashine .nilivyo rudi dar nikasajili hiyo line na huku dar napata 3g kwa hiyo kasi yake ni kubwa sana kama zile line za zamani za tigo .naweza download movie za Gb1 kumi kwa mpigo masaa 6 na huku na angalia youtube bila kustack.hadi navyo andika hapa natumia hiyo line
 
Back
Top Bottom