Nimekuelewa.
lakini ujue kujifunza kuna namna nyingi pia, unasoma kupita mitihani au unasoma upate kuelewa. Kama ni kuelewa, basi "short-cut" kamwe haitakufumbua macho kuhusu mambo ya ziada, hapa namaanisha kuwa, labda current requirement ni kutengeneza module fulani ya software, mtu akakwambia, zipo kama hiyo unayotaka kwenye site xyz (hapo jitayalishe ku'hack tu hiyo code ili ifanye kazi unayotarajia). Lakini kuna material nyingine ambayo itakulazimisha kujua japo mambo mawili matatu ya ziada ndio uweze kuitengeneza hiyo module, sasa katika kuelimika, solution A sidhani itakuwa na benefit zaidi ya copy/paste, pengine percentage marks kwenye paper wewe na wengine wataifurahia sana, lakini ukiingia kazini ukakuta ishu ndio kweli sasa inabidi "tujemge MODULES", ndugu yangu utabaki kuomba likizo nyingi tu ukajaribishe hiyo kazi. Solution B inakujenga kiutaalam zaidi na utakapohitaji ku-solve real world problems, utajua zaidi wapi mapengo yanazibwa...
Mfano: Ninataka kuandika solution ya ku'manage files kwenye legacy system kwani ninahitaji kupunguza muda wa kufanya backup. Kwanza nishaamua kutumia kati ya python au shell scripting. Lakini kwa urahisi nimebaini kuwa python ni bora zaidi. Hapo bado hii environment siifahamu kwa undani i.e. mimi niko Microsoft na sio Linux. Sasa kuokoteza vi'scripts bila kuelewa kwa ziada hii environment ha'kutonisaidia kamwe, kwanza kabisa inabidi nijue humo nitatumia nyenzo zipi na kupata kujua depencencies za program yoyote nitakayoitumia kutanisaidia hata pale solution nimeshaiandika na kuikabidhi itumike. Nikikimbilia say a windows based python IDE na kucrack code mbio mbio, sidhani kutasaidia, itabidi nipate solution kwenye hiyo system yenyewe, i.e. gearny na kuhakikisha dependencies zake zipo sawa, kwani hizo hizo zitatumika wakati wa matumizi ya hiyo solution... Hapo unajijenga kiutaalam...
Advice, kwanza tafuta open source kwani almost kila commercial product ina open-source equvalent yake, nenda
www.osalt.com, au kwenye tovuti ya
AlternativeTo - Alternatives To The Applications You Want To Replace na kutafuta vitu haki. Ndio huko kukishindikana, labda....