Msaada plz!

Msaada plz!

Hkeen

Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
95
Reaction score
4
Saluti kwenu wanaJF.Nina Nokia 2700 classic, tatizo nikitaka kutizama video online hasa toka U-tube na kwengineko, inaniandikia neno; 'nothing to display'. Nimejaribu kutumia mitandao tofauti nikithani kwamba ni tatizo la network ila imeshindikana. Naomba msaada plz !
 
Back
Top Bottom