kwa wenye uzoefu na printer hasa za HP

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
wakuu nina printer hapa, hp deskjet 2050A....Ni mara ya pili sasa nanunua catridge na zinabuma baada ya muda mfupi<hii ya pili sijafikisha hata copy 100>, Je ni kawaida yake huo ubovu au kuna mahala nakosea katika matumizi....kwa mnaozitumia mnapata matatizo gani? Je ni printer gani ambayo ni cheap na inafaa kwa kutoa copy nyingi yaani za biashara.,naombeni mawazo yenu wadau.
 
Mkuu deskjet kwa biashara ya copy ni loos,kwani ujazo wake wa ink ni mdogo sana,kwa nini usitafute copier ya rangi ambayo itakufanyia kazi vizuri?
 
mkuu bei zake vipi?

laserjet printer ya hp zinaanzia laki moja na themanini na kuendelea kwa black and white ila inadumu sana kulinganisha na deskjet, nakushauri uwe na zote mbili ili kama kuna documents ambazo ni coloured utumie deskjest lkn kama ni text only utumie laserjet, hii itasaidia kupunguza wimbi la kununua wino kila siku.
 
mkuu nashukuru kwa maelezo yako nitayafanyia kazi...black and white ndiyo yenye uhitaji kwa sasa...
 
Unatumia as printer au as copier?

kama ni as printer tafuta Hp Lasejet ndogo mf Hp Lasejet P1102 ni nzuri sana kwa kazi za kuprint black & white document

kama ni as Copier...utafilisika ndugu yangu...tafuta mashine ndogo ya copier Cannon 1225 ni nzuri sana...
 
Back
Top Bottom