msaada plz: tracking a stolen phone

Ally Msangi

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
608
120
wadau, kuna mjanja ameiba simu yangu.. Is there any posibility yakuweza kujua who has it. Cos my phone IMEI is registered. Je? Kuna uwezekano wowote wakuweza ku trace nani anatumia hyo simu at the moment. cos i remember usajili wa line ulikuwa na madhumuni yakuzuia wizi wa cmu.
 
mkuu ungekuwa na sim aina ya samsung ni nzuri sana kutrack maana zina kitu kinaitwa mobile tracker
 
Pole sana mkuu.
Kuna simu zina uwezo huo kama vile sumsung, lg na nokia. Lakini pia ni lazima uwe uliactivate hiyo kitu kabla haijaibiwa.
Kwa kawaida unaactivate kwa kuidirect simu hiyo kutuma sms (silent) kwenda kwenye namba nyingine ya simu; kwa maana kwamba ukibadilisha tu line kwnye hiyo handset, sms (yenye namba ya line inayokuwa imeingizwa)inatumwa kimya kimya kwenye namba ambayo uliidirect. Ni vizuri kudirect kwenye namba ambayo una hakika hata kama simu itapotea,yenyewe haitapotea.

Kiukweli kwa sasa kama hiyo kitu haikufanyika, basi nadhani ujipange tu kununua simu nyingine. Au utumie mbinu nyingine tu za kuitafuta.
 
Kama unayo hiyo samsung ndo unafanyaje. Tuelezane hatua kwa hatua ili sisi wa huku kibosho tujue ati
 
Pole mkuu, hiyo imeshapotea. Next time ukinunua simu kama haina mobile tracker, download F secure itakusaidia kujua nani anatumia simu yako pindi ikiibwa.
 
Pole mkuu mwenyewe nina kinokia changu C5 nakiona bomba sana, nimeinstall hiyo mobile tracker sasa tatizo ninalo lipata kila nikizima simu ninapoiwasha inatuma message kwenye zile namba ambazo nimeweka za kupeleka taarifa. Sasa inakuwa kero kwa wenye simu, nifanyeje au F secure inaweza kuwa bora zaidi ya mobile tracker? Msaada
 
Back
Top Bottom