jifunze kutuma file lolote na watsap | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jifunze kutuma file lolote na watsap

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Mar 2, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,810
  Likes Received: 7,139
  Trophy Points: 280
  nafikiri kila mtu anajua kua kupitia watsap tunaweza tuma mafile ya picha, sauti na video na yanakaa katika path hizi.

  Picha e:/images/watsapp
  Sauti e:/sound clip/watsapp
  Video e:/video clips/watsapp

  So mafile yote ya watsap yanakua stored katika memory card

  JE HUJAWAHI KUTAMANI KUTUMA SOFTWARES GAMES THEMES TEXT FILES NA VIKOROKORO VYENGINE KUPITIA WATSAPP???

  its easy just rename file lako liwe .mp3 then tuma kwa mwenzako

  Mfano una game laitwa asphalt.sisx rename liwe asphalt.mp3 then tuma kwa mwenzako yeye atalikuta path ya muziki nae atarename toka asphalt.mp3 liwe asphalt.sisx halafu atainstall.

  Unaweza tuma hata files za computer zenye extension ya .exe

  I think njia hii its better than email.
   
Loading...