Inawezekana Ku-buckup file la video ukubwa wa 10GB<<???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inawezekana Ku-buckup file la video ukubwa wa 10GB<<????

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mimtamu, Mar 2, 2012.

 1. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu tatizo langu kuu nina 1TB-HDD ambayo ipo formated so nimetumia software ya easy recover nimefanikiwa kubuckup files zote za picha(photo) na Docs nyengine. Kitu muhimu ninacho kitafuta ni videos ka 10 hivi zenye ukubwa wa kuanzia 10GB na kuendelea but sizioni ila folder lake naliona na files ndogo pia naziona. Sasa upeo wangu umeishia hapa, msaada please!! Kwa msaada zaidi waweza kuni PM
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  right click folder send to drive yako
   
 3. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Folder naipata na inakubali kubackup but hizo videos hazionekani na kuna baadhi ya videos za ukubwa wa 1GB ukibuckup zinagoma ku-play yaani zinakuwa corrupted
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Zaidi ya kurecover tafuta na jaribu na software ya kurepair. Sijui sofware nzuri ya kurepair video files may be inategemea na format ya file . So try to google maneno kama best avi repair software, au Mkv repair software.

  Unaweza pia kujaribu kutumia some other best recover software uone itakuwaje. Ulipopata hiyo Easy recover software unaweza kupata hata one of hizo the best.

  NB
  Nadahni kurecover file kama MS wordd au PDF au picha ni rahisi zadi ya kurecover Video au music files so unahitaji software nzuri zaidi. Sasa kama na files zenyewe ni kubwa complexity inaweza kuongezeka
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  External HD yako inatumia Fat32 file system? Fat32 haiwezi kusupport file zaidi ya 4GB. Right click drive yako kwenye My Computer cheki file system, kama ni Fat32 inabidi uiformat iwe NTFS, kuformat kurafuta kila kitu of course.
   
 6. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  HDD yangu ni NTFS na kwasasa ipo empty coz ni formatted kilichopo now ndiyo nabuckup hizo files na tatizo ndio hili la video za ukubwa wa kuanzia 2GB hazionekani na za 1GB zinakubali but haziplay
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  basi hiyo HD itakuwa na matatizo, jaribu kufanya scan utafute phyical errors.
   
Loading...