Msaada: Modem ina-disconnect yenyewe. Tatizo ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Modem ina-disconnect yenyewe. Tatizo ni nini?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SHIEKA, Mar 4, 2012.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Hallo wataalam wangu wa kompyuta na mambo ya IT. Nina modem ya Vodacom ninayoitumia kubarizi internet.Ni hii modem ndogondogo size ya flash disk.Nikishafanya connection inafanya kazi kama nusu saa hivi halafu inakata connection yenyewe. Inabidi niiondoe, ni-restart kompyuta na kufanya tena connection upya. Huu umekuwa ni usumbufu na kero kubwa kwangu. Nawauliza:Kwa nini modem yangu ina -disconnect yenyewe automatically? Natumia HP laptop,Windows XP.Natanguliza shukrani.
   
 2. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sababu zinaweza kuwa Nyingi


  1. Modem kujaribu kudownload kwa speedy kuliko buffering yake
  2. VPN client kukudisconnect automatically baada ya muda fulani
  3. Setting za kwenye netwok connections. Properties .Options ikisetiwa kudisconnect automatically
  Hakikisha unachagua kwenye idle time before hanging up kuwa Never. Kama kwenye hii screen capture:
  Na vilevile enable redial if line is dropped  [​IMG]
   
Loading...