How much does it cost to get access to the Internet backbone in Tanzania?

jessetz

Member
Nov 30, 2010
55
9
Kwanza naombeni samahani kwa kuchanganya lugha mbili. Nafikiria kuanzisha biashara ya ISP(Internet Service Provider), Tanzania, ninajua kuna mahitaji kama kuwa na business plan, kuwa na corporate structure, location ya ofisi, adequate facilities kwa ajili ya servers, lines,na mambo mengine ila sijui makisio ya gharama ya kuunganisha kwenye internet backbone na je ni TTCL ndio wanauza? Naombeni ufafanuzi wa hili ndugu zangu na gharama zake.
 
Mmmh kweli uko serious wewe. Hiyo biashara unataka kuanzia na mkoa gani.
 
Nakushauri ukawacheki TTCL watakupa full info.
Anzisha uturahisishie kazi tukuchakachue!Teh teh teh
 
kama unataka kuanzish ISP ya kuwaprovide ISP wengine na unamtaji wa kutosha na umeshafanya analysis ya kutosha ya ab ya wateja na cashflow na Quality kwako ni muhimu basi provider mzuri wa kukupa backbone ni SEACOM. Hawa ni jamaa amabao wanatandaza mkonga(fiber optic). Nadhani hata maakampuni ya simu za mkononi ambayo kwetu sisi watejan wa majumbani ni ISP BAckbone ya Internet zao ni zao hao jamaa, hata TTCL nao wanadaka kutoka kwako .

Am I wrong ????. Lakini nadhani decison hii naweza kuathiriwa na factor nyngine kama location nk . Tatizo hapa inaweza kuwa wao pia wanauza kuanzia Bandwidth fulani.Wich must be be huge kwa mtu anayenza.

Otherwisise Provdier wengine wa BAkbone ni wale wanatumia Satelite kama simbanet, Softech etc
. Africaonline. Tembela tovuti zoa watumie email wakupe mchanganuo ndio unaweza jua upi unakufaa kwa mazingira yako

Nashukuru sana mkuu, mawazo yako yamenipa pa kuanzia. Ubarikiwe
 
Bei ya SEACOM 2009

An STM-1 155Mbps IRU from SEACOM costs $4,350,000.

Hii ni kwa miaka 20, sijui kama wanauza kwa kipindi kifupi zaidi.

5% down-payment as a deposit
35% of the cost paid in Year 1
30% in Year 2
30% in Year 3
Thereafter, you have paid for your IRU and are only liable for the annual maintenance cost of 4% of the original price.

Hapo bado kuna gharama za connection kutoka cable hadi kwenye mitambo yako, pia sina uhakika kama cable inakuja na Internet au inabidi umlipe "ISP" kuko cable inakotua (London nadhani).

So kama hauna mtaji wa size hiyo itabidi upitie middle men ambao watakuuzia slice ndogo zaidi.
 
Ahsante sana Kang, maelezo mazuri sana, bado sijafanya maamuzi, sasahivi nafanya shooping tu na kujua information na gharama. Nashukuru sana, ubarikiwe!
 
Mkuu kuaccess internet backbone sio rahisi ila kuna tier 2 ISP TATA SEACOM ila hii itatokana na how much umeinvest,pengine ungetuambia vp kwa sababu itategemea na aina ya connection mfano,kutumia satellite or fibre,microwave
 
Ahsante mkubwa, nilitaka general idea tu, sikuwa na kila kitu, nashukuru sana!
 
Back
Top Bottom