Kwa uliyefanikiwa kujua bei za bundle mpya za AIRTEL tusaidiane taarifa!

Kwa uliyefanikiwa kujua bei za bundle mpya za AIRTEL tusaidiane taarifa!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Jama sh ngap zinaenda kwa bundle ipi?
 
Bundle za zamani zimerudi kama kawa,Tuma INTERNET kwenda 15444 upate 400mb kama enzi zetu!Mi nlipanga niwafuate makao makuu J3!

Yours truly...
 
Asante mkuu kwa taarifa ubarikiwe na bwana aliye hai.
 
Back
Top Bottom